Pettymagambo
JF-Expert Member
- Aug 21, 2017
- 1,490
- 8,227
Mkuu jamaa anaimba gere unanionea mie, nakunifanya hasidi, kwakuwa unatambua kazi yangu jukwaani, hata hivyo nyuma, sitarejea, wajifanya wajua, jua linakuwakia. Nisaidiwe huo wimbo jamani.Katika hizo nilizo upload hapo juu haipo?
Wenye nyimbo hizi tafadhali anisogezee
Zumbuku- T.O.T
Nyama ya bata-T.O.T
MTU mzima hovyo- nasma khamis
Shamba- issa matona
Dege la jeshi- dudu baya
Wenye nyimbo hizi tafadhali anisogezee
Zumbuku- T.O.T
Nyama ya bata-T.O.T
MTU mzima hovyo- nasma khamis
Shamba- issa matona
Dege la jeshi- dudu baya
Nimebahatika kuupata wimbo niliokuwa nautafuta wa Anifa ya Makassy
Nauomba ndugu nimekuwa nautafuta kwa muda mrefu sana huu wimbo. shukuraniNimebahatika kuupata wimbo niliokuwa nautafuta wa Anifa ya Makassy
Nami pia nauomba maana nimejitahidi kuutafuta sijaupata, naomba sanaNimebahatika kuupata wimbo niliokuwa nautafuta wa Anifa ya Makassy
Nami nautafuta sana naomba nitumie kiongozi, natanguliza shukrani!Nimebahatika kuupata wimbo niliokuwa nautafuta wa Anifa ya Makassy
Huu hapaMwenye nyimbo ya Beatrice muhone ni sikukuu. Beatrice muhone na siyo Beatrice mwaipaja
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Natafuta wimbo flani hivi wa huzuni huwa unaimbwa TBC kwenye kumbukumbu za walioga dunia
😂😂😂 yule mwanamama anaitwa Enya nyimbo kuna only time na may it beNatafuta wimbo flani hivi wa huzuni huwa unaimbwa TBC kwenye kumbukumbu za walioga dunia
Nautafuta wimbo mmoja wa mangwea, bamboo na jay moe, unaitwa mola nisamehe, nimeutafuta sana bila mafanikio
enjoy mkuu usilielie tena naona ushahangaika mpaka chozi lataka kukutoka...😂Nautafuta wimbo mmoja wa mangwea, bamboo na jay moe, unaitwa mola nisamehe, nimeutafuta sana bila mafanikio
Nimebahatika kuupata wimbo niliokuwa nautafuta wa Anifa ya Makassy
Nimebahatika kuupata wimbo niliokuwa nautafuta wa Anifa ya Makassy
Nauomba kiongozi nimeutafuta sanaNimebahatika kuupata wimbo niliokuwa nautafuta wa Anifa ya Makassy
Ziggy Dee - Eno Mic.Kuna wimbo flani wazamani nilikalili kipande ...wana imba alomaiti alomaitii ina skitisha sana ooohh ...kama kiluga flani kinaendelea nisaidien jina na muimbajii
Dj Yusuph ana Ngoma nyingine Usiogope feat. Jay Moe na Bongo.Kuna wimbo ameimba dj yusuph alieimba mbele kwa mbele,kama kuna mtu anao auweke hapa tuburudike na huyu msela wa marekani aliyeikataa bongo.