Amaizing Mimi
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 489
- 1,102
Bizzman huyo.ngoja nipekue kwenye mafaili.Wimbi wa stara Thomas... Unaimbwa naomba naomba!! Ukinipa mama sitoiba! Naomba shilingi mia! Nikanunueee chama! Naomba shilingi mia nikanunie andaziii!!......
Abeti Masikini - Nalia KwetuKuna wimbo una lyrics
"Siku nikifika nyumbani nitakula ugali na sombe"
Huyo ni mkongo Mayaula Mayoni - MbonguoIgweee...
Nimekuja tena na request nyingine wadau. Ni nyimbo mbili zinapigwaga sana kwenye maharusi. Nadhano ni wakongo ama west africa. Sasa mmoja uko kama wanasema "bongwee boongwe dima" afu anasema vimaneno maneno lakini ni kama hivyo. Beat kama za kina pepe kale sijui...sijui ka ntakuwa nimeeleweka ila ntashukuru nikipata hizi nyimbo mbili huwaga zinapigwa sana kwenye sherehe....
Sweet africa - awana o africaHuu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
Hii version ya sasa inanpa shida unawez ni TagZiliwekwa kwenye post za nyuma.
Huo wa kwanza unaitwa Siri ya mapenzi na wa pili unaitwa Nachechemea. Search hapo juu
Kaimba mwanamuziki gani?Kuna nyimbo ilikwa inaimba '' hivi ni kwanini sarah , my love
Mbona umeamua kunitesa, ooh
Stress za mapenzi zimejaa kichwani
Stress za mapenzi zimejaa kichwani ''
Nimeitafuta bila mafanikio miaka kumi sasa
Hizi hapaHii version ya sasa inanpa shida unawez ni Tag
Simkumbuki jina ila mashair ya nyimbo yalikwa hyo kwa ufupiKaimba mwanamuziki gani?
Dah. Tunakusaidiaje bosi, maana hakuna clue hapa kwa maelezo yakoKuna wimbo wa soul siujui jina ila ukipigwa naskia whislte flan tam kwel.
Nimetafuta platform zote bila kuupata.
Daah!! Ebanaa eeeeh! Utafanya vyema sana ukinipatia....Bizzman huyo.ngoja nipekue kwenye mafaili.
Ninao sema nilipouweka sasa.
Kaka huu wimbo nikienda kwenye player nauona ika nikiingia kwenye faili siuoni tena naingia kwenye folder ambalo player inaonyesha hilo folder lakini kwenye folder haupo.Daah!! Ebanaa eeeeh! Utafanya vyema sana ukinipatia....
Umeimbwa na Bizzman. Huu hapa nimekuwekea. Ni wimbo wa muda sana. EnjoyWimbi wa stara Thomas... Unaimbwa naomba naomba!! Ukinipa mama sitoiba! Naomba shilingi mia! Nikanunueee chama! Naomba shilingi mia nikanunie andaziii!!......
Haya. Baadhi hizi hapaUmetisha mkuu naomba unikamilishie kwa kazi hizi mkuu bora bora sound makey fanta,pamo sound omary mkali na bambino sound banza stone.
Asante sana mkuuUmeimbwa na Bizzman. Huu hapa nimekuwekea. Ni wimbi wa muda sana. Enjoy
Pamoja sana broAsante sana mkuu