Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Igweee...
Nimekuja tena na request nyingine wadau. Ni nyimbo mbili zinapigwaga sana kwenye maharusi. Nadhano ni wakongo ama west africa. Sasa mmoja uko kama wanasema "bongwee boongwe dima" afu anasema vimaneno maneno lakini ni kama hivyo. Beat kama za kina pepe kale sijui...sijui ka ntakuwa nimeeleweka ila ntashukuru nikipata hizi nyimbo mbili huwaga zinapigwa sana kwenye sherehe....
Huyo ni mkongo Mayaula Mayoni - Mbonguo
 
Natafuta wimbo wa Vijana Jazz wanaimba "maisha ya Sasa, ni magumu, inatubidi tuyabane matumizi"
 
Ziliwekwa kwenye post za nyuma.
Huo wa kwanza unaitwa Siri ya mapenzi na wa pili unaitwa Nachechemea. Search hapo juu
Hii version ya sasa inanpa shida unawez ni Tag
 
Kuna nyimbo ilikwa inaimba '' hivi ni kwanini sarah , my love
Mbona umeamua kunitesa, ooh
Stress za mapenzi zimejaa kichwani
Stress za mapenzi zimejaa kichwani ''
Nimeitafuta bila mafanikio miaka kumi sasa
 
Kuna nyimbo ilikwa inaimba '' hivi ni kwanini sarah , my love
Mbona umeamua kunitesa, ooh
Stress za mapenzi zimejaa kichwani
Stress za mapenzi zimejaa kichwani ''
Nimeitafuta bila mafanikio miaka kumi sasa
Kaimba mwanamuziki gani?
 
Kuna wimbo wa soul siujui jina ila ukipigwa naskia whislte flan tam kwel.

Nimetafuta platform zote bila kuupata.
 
Natafuta wimbo wa FATHER G-unaimbwa hivi,
We ni wangu niliopewa na manani,
Kukuacha honey naona haiwezekani,
 
Daah!! Ebanaa eeeeh! Utafanya vyema sana ukinipatia....
Kaka huu wimbo nikienda kwenye player nauona ika nikiingia kwenye faili siuoni tena naingia kwenye folder ambalo player inaonyesha hilo folder lakini kwenye folder haupo.
Kama vipi naomba njoo pm unitumie namba yako ya whatsapp ili nikutumie halafu wewe utauapload huku ili niupakue tena ukae kwenye fail.
 
Umetisha mkuu naomba unikamilishie kwa kazi hizi mkuu bora bora sound makey fanta,pamo sound omary mkali na bambino sound banza stone.
Haya. Baadhi hizi hapa
 

Attachments

Back
Top Bottom