shukran mkuu,Kwa namna ulivyotype hapa ilikua ngumu kweli kung'amua.
Ila kwasababu ilikua ndani ya album yangu pendwa nimeijua.
Wimbo unaitwa Nyumba za urithi umeimbwa na Mamen KijiweDuh aiseee, msanii gani huyo mkuu
Search You tube Mwinjuma Muumin chini ya Tam Tam Band album inaitwa Mgumba.Wakuu Kuna wimbo wa zamani nautafuta unaimbwa......Amina kuchoma choma kubaya uta mchoma Mkweo aliye kuzalia Mumeo....nakumbuka kipande hicho tu msaada.
Huyo ni King Kiki mtunzi na mwimbaji wa Wimbo maarufu wa KITAMBAA CHEUPE, SAFARI ya London ikiwemo na huo uliotaja baadae nitakuwekea hapa ukikosa.Pia naomba mwenye ile nyimbo ya uyole, Dar wanapenda sana kuupiga live band
MISTARI
"Wale waenda njia ya uyole kupitia chalinze mamaa"
Huu niliokuwekea ndio mdundo official aliotumia maana upo kwenye album yake ya African Son.shukran mkuu,
nyimbo ni yenyewe ila hii nyimbo iko na mdundo tofauti sababu mdundo nilousikia ulikuwa mkali(itakuwa vocal zimeingizwa kwenye midundo tofauti) ila nyimbo ni yenyewe.
Maadui hawaponi mbele ya komando kipensi
Wimbo wa mack d ft banana zorro jumba bovu kama kuna mdau anao auweke hapa..
"Ndugu zangu wamenitenga, kitu kibaya wamenifanyiaaaa, sikujua napokwenda mi ila Mungu bado ananipenda"
Bongo fleva hii ya enzi hizo, jamaa mpaka alilrogwa akaanza kuokota makopo, wakitaka kumgeuza msukule
Huu hapa. Hayo maneno yapo mwishoni mwishoni mwa wimboWakuu Kuna wimbo wa zamani nautafuta unaimbwa......Amina kuchoma choma kubaya uta mchoma Mkweo aliye kuzalia Mumeo....nakumbuka kipande hicho tu msaada.
Wimbo unaitwaje?Godzilla, Same. Hata mjini yutyub siupati. Mwenye nao please.
EnjoyWimbo wa mack d ft banana zorro jumba bovu kama kuna mdau anao auweke hapa..
Ina nyimbo nyingi sana mzee, sio rahisi kuweka zoteTujikumbushe kidogo harakati, Mwenye antivirus Volume 1 na 2 naomba
mkuu naomba hata chacheIna nyimbo nyingi sana mzee, sio rahisi kuweka zote
Sipho Mabuse - Burn Out