A teller
JF-Expert Member
- Feb 6, 2018
- 523
- 715
Kuna wimbo nautafuta ulikuwa unapigwa Sana tbc wayback kwenye miaka ya 2008 au 2009 NI ya mjapani mmoja alimuimbia mpenzi wake mbongo akimuaga kwani alikua anaenda nchini kwako
Baadhi ya mashairi ninayoyakumbuka NI " ninakupenda na wewe wanipenda, ila naomba unipe nafasi....
Usilie uzuri wangu utapata mwingine zaidi kunizidi"
Mazingira aliyoimba yalikuwa NI bahari ya hindi