Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna wimbo nautafuta ulikuwa unapigwa Sana tbc wayback kwenye miaka ya 2008 au 2009 NI ya mjapani mmoja alimuimbia mpenzi wake mbongo akimuaga kwani alikua anaenda nchini kwako
Baadhi ya mashairi ninayoyakumbuka NI " ninakupenda na wewe wanipenda, ila naomba unipe nafasi....
Usilie uzuri wangu utapata mwingine zaidi kunizidi"

Mazingira aliyoimba yalikuwa NI bahari ya hindi
 
Kwa namna ulivyotype hapa ilikua ngumu kweli kung'amua.
Ila kwasababu ilikua ndani ya album yangu pendwa nimeijua.
shukran mkuu,
nyimbo ni yenyewe ila hii nyimbo iko na mdundo tofauti sababu mdundo nilousikia ulikuwa mkali(itakuwa vocal zimeingizwa kwenye midundo tofauti) ila nyimbo ni yenyewe.

Maadui hawaponi mbele ya komando kipensi
 
Pia naomba mwenye ile nyimbo ya uyole, Dar wanapenda sana kuupiga live band

MISTARI
"Wale waenda njia ya uyole kupitia chalinze mamaa"
Huyo ni King Kiki mtunzi na mwimbaji wa Wimbo maarufu wa KITAMBAA CHEUPE, SAFARI ya London ikiwemo na huo uliotaja baadae nitakuwekea hapa ukikosa.
 
Natafuta wimbo wa kidini unaitwa NITUME MIMI BWANA walioimba ni wanaume pekee, ila mtunzi sijui ndo anaitwa Godfrey Makolo mwenye nao auweke hapa
 
shukran mkuu,
nyimbo ni yenyewe ila hii nyimbo iko na mdundo tofauti sababu mdundo nilousikia ulikuwa mkali(itakuwa vocal zimeingizwa kwenye midundo tofauti) ila nyimbo ni yenyewe.

Maadui hawaponi mbele ya komando kipensi
Huu niliokuwekea ndio mdundo official aliotumia maana upo kwenye album yake ya African Son.
 
Godzilla, Same. Hata mjini yutyub siupati. Mwenye nao please.
 
Shukrani kwa mpenzi wimbo wa five star mwimbaji issa kijoti mwenye nayo tafadhali
 
Back
Top Bottom