Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Wakubwa, hakuna mwenye Pozi za Kichokozi wa kwanza kweli humu?
 
Kunaaaa Kuna zua ezua

Lipanda eeeh mboka zua ezua lipanda

Liberte ooh ooh liberte...... Kaimba simaro sijui anitumie hapa!

Kokola by Tshala muana!
 
"Ooh ngai Ndaya ooh,
nayebi nkombo ya mbanda te,
ooh ya ngai Ndaya ooh,
libanda yango ya bombanda te aye eeh."

Mwenye huu wimbo nitashakuru akishare, jina nimeusahau
 
Kuna nyimbo moja bongo flava wanaimba hiv.. "chagua mmoja mimi ama ye, uwe nae, kama unampend si umwambie ili na yeye ajue e e"
Ni wimbo flan hv dem anachanganya wanaume wawili, nd jamaa anaimba kama anampenda amuambie na kama anampend yule mwengin amuambie t asiwachanganye, ni wimbo wa miaka ya kuanzia 2005 mpk 2010 (sijui umetok mwaka gan hasa lkn ni within hiyo 10 years)
Kula chuma hiko
 
Kuna wimbo mmoja hivi Kuna sehemu wanaimba hivi:-
Masai kavamia pori kakutana na wamakonde
Masai kavamia pori kakutana na wamakonde
Wamemchoma mishale ya sumu
Wamemchoma mishale ya sumu
Kata kiu eeeeeeeeee
Kata kiu ya..........

Naombeni mwenye nao atume, au hata jina la wimbo ntashukuru
 
Sio tunaendana?
Nahisi ndo track yao ya kwanza ku hit kipindi hicho, naisaka siipati popote, humo ndani Kuna mistari kadhaa naikumbuka..
'niligombana na mwanafalsafa kisaa...alinipeleka studio na nyimbo yangu haikutoka'
chorus... "tunakoseana, tuombe Mungu itapolia kengele....."
 
Back
Top Bottom