Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.

Kuna nyimbo moja bongo flava wanaimba hiv.. "chagua mmoja mimi ama ye, uwe nae, kama unampend si umwambie ili na yeye ajue e e"
Ni wimbo flan hv dem anachanganya wanaume wawili, nd jamaa anaimba kama anampenda amuambie na kama anampend yule mwengin amuambie t asiwachanganye, ni wimbo wa miaka ya kuanzia 2005 mpk 2010 (sijui umetok mwaka gan hasa lkn ni within hiyo 10 years)
 
Wakuu vipi, kuna wimbo nimeusahau jina pamoja na muimbaji, ila ni hip hop inaelezea magonjwa kwenye mtindo wa mechi
mfano: maralia anaenda bemch, homa inangia

anaeufahamu naomba anisaidie, asanteni 🙏
 
Kuna ule wimbo,
Unasema hivi "Katika mashekhe wa kali kalina ,dari darina na mimi nimo nimo"
Hii ni hip pop sjui kaimba nani?
 
Amani iwe nanyi, naomba mwenye audio yavwimbo wa JAY Z unaitwa RIGHT HERE WAITING FOR YOU afanye kuuweka tufurahi kwa pamoja. Shukrani.
NB: Ule uliowekwa youtube audio yake ni low quality.
 
Mwenye nyimbo za Golden Star taarab ya Tanga miaka Ile. Please share.
 
Kuna wimbo Fulani wa zamani sijui kaimba nani yule wa Africa kusini ila kiitikio wanaimba hv

Eeeh Eeeh Tabiiii (Yeah)
Oooh Ooh tabiiii Sarawilu

Anayeufahamu anijuze Kuna mwanamke ndo anaitikia
 
Kuna wimbo Fulani wa zamani sijui kaimba nani yule wa Africa kusini ila kiitikio wanaimba hv

Eeeh Eeeh Tabiiii (Yeah)
Oooh Ooh tabiiii Sarawilu

Anayeufahamu anijuze Kuna mwanamke ndo anaitikia
Todii wa oliver ntukudzi. Sio south Africa jamaa anatoka Zimbabwe. Ni marehemu kwa sasa. Nenda YouTube
 
Wakuu vipi, kuna wimbo nimeusahau jina pamoja na muimbaji, ila ni hip hop inaelezea magonjwa kwenye mtindo wa mechi
mfano: maralia anaenda bemch, homa inangia

anaeufahamu naomba anisaidie, asanteni 🙏
Nenda YouTube search MECHI KALI..... Haina video ila audio IPO YouTube.
 
Todii wa oliver ntukudzi. Sio south Africa jamaa anatoka Zimbabwe. Ni marehemu kwa sasa. Nenda YouTube
Asante sana mkuu nimepata YouTube ila Kuna mwingne wa Sauzi jamaa kaimba na Wanawake wamevaa makofia Yale ya kizulu (Kama alilokua anavaa mama joy wa Sauzi kwenye Afcon)

Kuna Sehemu wale Wadada wanaimba
Tiii Tiii Tiii Tiii Uneeeee Uneee
Tiiii Tiii Tiii Uneeee
 
Mi Kuna nyimbo ya kikongo ya zaman kidogo simjui muimbaji Wala jina la wimbo ila kiitikio chake no hiki "OYEYE MBONGO EEEH EEEH."
 
Mwenye nyimbo hizi tafadhali
1. Omba - wenge bcbg
2. 2 way - rayvon ft Brian, tony gold, Ricardo,
3. Rack me rack me - rootsman
 
Back
Top Bottom