Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
habari Wakuu, natafuta nyimbo hizi za kibongo za kitambo kidogo:
1. Block 41 Legendary wa Kalapina + Members wengine wa Kikosi cha Mizinga (beat yake inasikika background kwenye ile clip ya video ya show ambayo Kalapina alimshusha jukwaani Chidi Benz: "ASIYEHUSIKA NA SHOW ASHUKE" show.

2. Wimbo wa dada mmoja simfahamu kwa jina ila una maneno haya "give me some money hebu acha utoto . . . kajileta letaaaa, nasema kajileta-letaa"

3. Kuna member mmoja wa kundi la Wakali Kwanza, alifahamika kwa jina la Lil' Grey, wimbo unaitwa Jiamini tu Mi Nataka Kuwa na Wewe (sina uhakika sana na hili jina la wimbo, lakini maneno hayo yanasikika kwenye kiitikio chake)

4. Wanashangaa wa JCB kamshirikisha Nakaaya, na Jay Moe.
5. Kuna wimbo kafanya dada flani unaanza na maneno "Mara simu, mara mesejiiii . . . ni kweli kwamba sasa yatosha; ulivyoniadhibuuuu bila sababu mimi . . ."

Natanguliza shukrani kwa yeyote mwenye wimbo wowote kati ya hizo, na pongezi nyingi kwa sharings zote zilizofanyika kwenye hii thread tangu ilipoanzishwa!!!

KIOO Idimi
 
Mwenye hii ngoma audio yake naomba... Nimejarib kudownload nmeshindwa
Screenshot_2024-11-05-21-52-32-47_489a25e14b88295a9a59a218963834a1.jpg
 
Huo wimbo nautafutaga sana ulikua kwenye album Yake ya kwanza mama alikua anaisikiliza Kila siku ndio namimi nikampenda ray c humo
Hii ngoma mtandaoni haipo ila nnayo nilkipata muda ntakuwekea!!
 
Wakubwa wa kazi natafuta hizi ziwe version ya kwanza please

Ondoka - Renee Lamira

Pozi za Kichokozi- Jet man n Seif
 
habari waungwana,Kuna nyimbo za kitambo,nazitafuta bila mafanikio;
1.nimekubamba - enika
2.nataayu-kunguru,linex
3.tasfiri -mc napo
mwenye wimbo wowote ,Fanya msaada
asante
 
Wakubwa wa kazi natafuta hizi ziwe version ya kwanza please

Ondoka - Renee Lamira

Pozi za Kichokozi- Jet man n Seif
duuh ilo dude pozi la kichokozi,at that time RFA inabamba mbaya, mchana Show Time
 
Kuna wimbo Fulani wa zamani sijui kaimba nani yule wa Africa kusini ila kiitikio wanaimba hv

Eeeh Eeeh Tabiiii (Yeah)
Oooh Ooh tabiiii Sarawilu

Anayeufahamu anijuze Kuna mwanamke ndo anaitikia
Todii wa oliver ntukudzi. Sio south Africa jamaa anatoka Zimbabwe. Ni marehemu kwa sasa. Nenda YouTube
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 we jamaa unaweza ukawa Chatbot, maana umeweza kung'amua hiyo lyrics ameiandika hapo. Nimecheka sana
 
Wakuu huu wimbo nimeuomba sana humu ndo kusema hamna au dharau...
Juma jazz ft dully Sykes natamani...
Mwenye nao bas naomba aniweke hapa wakuu..
 
Back
Top Bottom