KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
Hiyo hapo kaka.Hakifunguki kamanda, ungekuwa ushasaidiwa. Kionjo kiweke katika mp3 ama mp4 format. Nikishakisikia huenda nikakusaidia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo hapo kaka.Hakifunguki kamanda, ungekuwa ushasaidiwa. Kionjo kiweke katika mp3 ama mp4 format. Nikishakisikia huenda nikakusaidia
Mkuu hiyo no.2 na 3 pia unayo? Nazihitaji.Kiongozi natumia App nashindwa kuapload wimbo humu, kama hutojali nitumie namna yako ya WhatsApp inbox nikurushie.
Enjoy muziki mzuri.....Dat be dem ya fredo Starr please mwenye nayo
Hii nadhani ni ngoma ya Nami nimo- Baucha ft. FId Q & StanboyKuna ule wimbo,
Unasema hivi "Katika mashekhe wa kali kalina ,dari darina na mimi nimo nimo"
Hii ni hip pop sjui kaimba nani?
Hii ngoma mtandaoni haipo ila nnayo nilkipata muda ntakuwekea!!Huo wimbo nautafutaga sana ulikua kwenye album Yake ya kwanza mama alikua anaisikiliza Kila siku ndio namimi nikampenda ray c humo
Suo huoHii nadhani ni ngoma ya Nami nimo- Baucha ft. FId Q & Stanboy
duuh ilo dude pozi la kichokozi,at that time RFA inabamba mbaya, mchana Show TimeWakubwa wa kazi natafuta hizi ziwe version ya kwanza please
Ondoka - Renee Lamira
Pozi za Kichokozi- Jet man n Seif
Kuna wimbo Fulani wa zamani sijui kaimba nani yule wa Africa kusini ila kiitikio wanaimba hv
Eeeh Eeeh Tabiiii (Yeah)
Oooh Ooh tabiiii Sarawilu
Anayeufahamu anijuze Kuna mwanamke ndo anaitikia
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 we jamaa unaweza ukawa Chatbot, maana umeweza kung'amua hiyo lyrics ameiandika hapo. Nimecheka sanaTodii wa oliver ntukudzi. Sio south Africa jamaa anatoka Zimbabwe. Ni marehemu kwa sasa. Nenda YouTube
habari waungwana,Kuna nyimbo za kitambo,nazitafuta bila mafanikio;
1.nimekubamba - enika
2.nataayu-kunguru,linex
3.tasfiri -mc napo
mwenye wimbo wowote ,Fanya msaada
asante