Kuna nyimbo moja bongo flava wanaimba hiv.. "chagua mmoja mimi ama ye, uwe nae, kama unampend si umwambie ili na yeye ajue e e"Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
Ni wimbo flan hv dem anachanganya wanaume wawili, nd jamaa anaimba kama anampenda amuambie na kama anampend yule mwengin amuambie t asiwachanganye, ni wimbo wa miaka ya kuanzia 2005 mpk 2010 (sijui umetok mwaka gan hasa lkn ni within hiyo 10 years)