Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
JAMANI MWENYE WIMBO WA ZF FT TUNDA MAN WIMBO UNAITWA SIO SIRI NAUOMBA

PIA KUNA WIMBO WA ISSA E NA BIO UNAITWA SHANI BILA KUSAHAU WIMBO MWINGINE UNAITWA SHOE SHINE UMEIMBWA NA MONA BABY FT PASHA
hata mimi nimeutafuta kwa muda mrefu ila nimekosa. ukiupata kuna ela ya vocha hapa.. pia wimbo wa nyasi ft nay wa mitego - imekula kwao. kuna ela ya vocha hapa
 
Nautafuta wimbo fulani ambao ulikuwa unapigwa pale TBC Taifa kwenye kipindi cha duru za siasa (usiku) enzi zile.
Nakumbuka tu maneno machache kwenye ule wimbo yanasema "...siasa visingizio....".
Wakuu nitafutieni huu wimbo maana niusikilizapo huwa sina tofauti na mtu aliyefika kileleni.
 
Hbr, natafuta nyimbo za christmass. Ziliimbwa na kwaya flan hv humo kulikua na nyimbo km usiku wa manane, hongera eh Maria, amkeni, aleluya etc
 
Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.

Mimi ninatafuta wimbo wa Juma Balo unaitwa "Kapu," na wimbo wa Shakila unaoitwa "Bunduki Isiyokuwa na Risasi"

Inasemekena Balo alisema kuwa Shakila ni kapu lilonabeba kila kitu (nadhani kwa maana ya kuwa kila mwanamme alikuwa anakaliribishwa kwa Shakila), ndipo Shakila naye akamjibu kuwa Balo ana bunduki ambayo haina risasi haiwezi kuuwa (kwa maana ya kuwa alikuwa na upungufu wa kiume hawezi kupata mwanamke yeyote)

Taarabu za enzi hizo zilikuwa na mipasho ya moto sana
 
Wakuu ivi hii ngoma ya juma jazz ft dully Sykes natamani,..ndo hakuna alienayo au hakuna anajua kabisa au mnanifanyia maksudi ..
Nimeiulizia huu mwaka wa 5 humu..
Fanyeni ivyo bas wakuu
 
Kuna ngoma Ray C alitoaga sema haikuwa maarufu ilikuwa na mistari kama "we unaonaje kama ukishiriki nasi sote kwenye mambo mengii, kidole kimoja hakivunji chawaa, shirikiana mambo yawe sawaa"

Ngoma nyingine ni ya Watengwa waliimba na Stopa Rhymecca nadhani baadhi ya mistari ni kama "kipaji changu kinaeuhusu kuimba hardcore"

Kuna taarabu moja ina mistari kama "nashukuru nimestirika Mash'Allah yangu yanyooka, natembea kwa mapaana naringa mie"

Kwa kweli hizi ngoma nikizipata ntafurahi sana.
Huo wimbo nautafutaga sana ulikua kwenye album Yake ya kwanza mama alikua anaisikiliza Kila siku ndio namimi nikampenda ray c humo
 
Nautafuta wimbo ,mwimbaji nishamsahau ila unaitwa CHAP CHAP ni bongo hip hop naona ni vijana wa mwenge moja ya mistari inachanwa.

"Bado neck of the street maujanja supplier ,wanasema wana kipaji nikichana wanagwaya check time bwana muda wako una-expire ,chap chap ,cheza deal chap chap ,fanya mambo chap chap"

Bado sijaupata huu wimbo.
 
Msaada nyimbo 2 za Ed Sheeran
1. Perfect
2. Shape of you
Nitashukuru sana🙏🏼
 
Back
Top Bottom