Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Mwenye wimbo wa Nay wa Mitego ft. Nyasi. Sehemu ya mistari "napiga simu unakata unakata oiiiehh ... Sijui nn unataka ... Oiieeh! Nimechoka kuteswaaaa!!. Nimetafuta sana na bado sijaupata
 
habari ndugu na jamaa kuna wimbo nautafuta wa kingereza nadhani unaitwa Rebirth sauti ya muimbaji ni kama jay z" baada ya kugoogle nimepata wimbo una same beat muimbaji tofauti anaitwa lydell ni huu naatach" shida yangu muimbaji si huyu beat ni yenyew
 

Attachments

Wakuu natafuta wimbo wa kwaya wa zamani umeimbwa na kwaya ya KKKT KANA TANGA - bwana tuma uamsho utuamshe sisi

Wakuu mwenye nao naomba auweke hapa mana nimeutafuta mtandaoni bila mafanikio. Natanguliza shukrani
 
Wakuu mwenye hizi nyimbo
1.JUMA NATURE - HUWEZIJUA
2.TOP T - NIMEKUFANANISHA
3.MZINGA BAND - MAZOEA YANANIKONDESHA
4.K BASIL - CHOZI
5.ENIKA - CHANGANYA
6.NYIMBO ZOTE ZA MWANA FA
Natanguliza shukrani
 
Naomba nyimbo za Vijana jazz ya Hemedi Maneti zozote na Super Bomboka ya Marijani Rajab mwenye nazo wandugu.
 
habari ndugu na jamaa kuna wimbo nautafuta wa kingereza nadhani unaitwa Rebirth sauti ya muimbaji ni kama jay z" baada ya kugoogle nimepata wimbo una same beat muimbaji tofauti anaitwa lydell ni huu naatach" shida yangu muimbaji si huyu beat ni yenyew
Tafuta "Died in your arms tonight" wa Jayze
 
Naomba mwenye wimbo wa dini wa zamani sanaa unaimbwa hivii..
Mvua ilianza kunyesha bila kukatikaa.. ina husu safina ya Musa..
 
Wakuu mwenye hizi nyimbo
1.JUMA NATURE - HUWEZIJUA
2.TOP T - NIMEKUFANANISHA
3.MZINGA BAND - MAZOEA YANANIKONDESHA
4.K BASIL - CHOZI
5.ENIKA - CHANGANYA
6.NYIMBO ZOTE ZA MWANA FA
Natanguliza shukrani
Hapo mzinga Bend ndo sina. Na zikizobaki zote zinapatikana mtandaoni, jaribu kutafuta kwanza ukikosa mimi nitakutumia
 
Kuna wimbo sjui kaimba nani ila content au wimbo umeimbwa kwa kupokezana...me na ke
Waliimba kuhusu manzi sjui jamaa wako kwenye mahusiano wameenda kupima mmoja kakutwa ana ngoma sasa mmojawapo anaomba warudie kupima pengine majibu walikosea madaktari...

Melody ni kama waloimba.." mbona wanitazama kishaa wanza kulia kama nimekukosea naomba unisamehe
Hapana sijakukosea ninalia kwa furaha..
 
Back
Top Bottom