Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna ule wimbo unaimbwa hivi..
🎶"Tulikutana ki mjini mjini"🎶
Halafu Kuna ule
🎶"Inama inuka eeh naangusha Moja moja Leo"🎶
Halafu Kuna ule
Unaimbwa ivi
🎶"Kama wanipenda nipe mgongo nipande unibebe mpaka kwa mama ukinifikisha ntafurahi Sanaa"🎶
Hio tulitatana kimjini mjini ni rap ya Msafiri Diouf wa Tanga Pepeta, sijajua ipo katika wimbo gani. Kama unajua jina la wimbo niambie nikuwekee
Hio inama inuka ipo katika wimbo wa password wa Twanga Pepeta (nimeuweka hapa)
Hio ya tatu ni wimbo wa Bob Haisa wimbo inaitwa nipe mgongo.
 

Attachments

Mkuu samahani unaweza kuwa na nyimbo za album ya mgumba African revolution band na Ile ya maisha kitendawili
Zipo, ila siwezi kujua album zilibeba nyimbo zipi. Ukiweka orodha ya nyimbo itakuwa rahisi kukusaidia, bahati mbaya nyimbo zijazipanga kwa album, zimekaa kwa title
 
Mpaka Sasa nimeshindwa kupata nyimbo za tam tam shangingi la karne na mjomba njaa
Pole sana. Tulikuwa hatujaona post. Haya nakuwekea hapa. Tuma vocha la bundle
 

Attachments

mkuu weka tu ulizo nazo huwa nazielewa balaa

kuna ule mwokozi nitoe roho niepuke hili balaa, maisha nilichezea leo hii nalala na njaa
Huo wa hard blasters upo hapo juu, search utauona.
 
Wakuu naomba kama kuna mtu mwenye hizo nyinmbo anisaidie kupandisha hapa:
1. Asuuu wangu- (msanii simjui)
2.Mc Trick wa Kenya (comedian) kuna nyimbo huwa anaingia nayo kwenye show kama ragga flani hiv
3. One way- lucian Bokilo
4. Buzi langu- Serengeti Band

Natanguliza Shukrani 🙏 🙏
 
Wimbo mmoja ulipigwa nikiwa strippers club nimelewa chaakari enzi hizo nikiwa kijana. Huwa nauwaza sana ila siukumbuki jina zaidi na-na-na-na... Ulinifanya nikasokomeza laki nzima ndani ya P ya stipper huku watu wananishangilia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Turn your lights down low
 
Jamani ndg zangu naombeni wimbo ulioimbwa na Ziggy Marley Nina silikumbuki ila nakumbuka vionjo kidogo.......marleeeeey malisalataaa....alafu wanaitikia malisalataaa..ilivuma Sana miaka ya 92 Hadi 95 Kama sikosei pls naomba hii song
Buffalo soldier
 
1.. So lucky boy baby so lucky boy..sauti ya mwanadada hapo inaimba mwenye nao naomba anitumie hapa au wasap 0684610933
 
Natafuta wimbo fulani hivi ni kama ulitoka 2010 ambapo msanii ambaye ni mwanamke anaimbwa kiitikio hivi

"napenda tututu.. tu tunda,
eh napenda tututu tu tunda
 
Natafuta tangazo la Airtel Lile la mwaka 2012. Baadhi ya maneno ni kama ifuatavyo "Hee wamekata, watakataje!!?"
"Wamenitukia ada ya shule ... Wamekataaaaa"
 
natafut wimbo ambao sio wa sikunyingi ameimba mwanadada mmoja kuna sehemu anasema "anaenipendaa.... nitaempendaa..."
 
Back
Top Bottom