Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
Hio tulitatana kimjini mjini ni rap ya Msafiri Diouf wa Tanga Pepeta, sijajua ipo katika wimbo gani. Kama unajua jina la wimbo niambie nikuwekeeKuna ule wimbo unaimbwa hivi..
🎶"Tulikutana ki mjini mjini"🎶
Halafu Kuna ule
🎶"Inama inuka eeh naangusha Moja moja Leo"🎶
Halafu Kuna ule
Unaimbwa ivi
🎶"Kama wanipenda nipe mgongo nipande unibebe mpaka kwa mama ukinifikisha ntafurahi Sanaa"🎶
Hio inama inuka ipo katika wimbo wa password wa Twanga Pepeta (nimeuweka hapa)
Hio ya tatu ni wimbo wa Bob Haisa wimbo inaitwa nipe mgongo.