Huo wimbo unaitwa Beatrice, aliimba na mass media Band

mimi niliutaja mwanzoni hakuna aliyenipa, ukipewa nitag mkuu.
Upo humu kuna mdau aliurusha. Jipe muda peruzi kidogokidogo utauona
 
Huo wimbo unaitwa Beatrice, aliimba na mass media Band

mimi niliutaja mwanzoni hakuna aliyenipa, ukipewa nitag mkuu.
Fuatilien post za mwanzon buu wimbo kuna mtu aliuweka humu
 
Nautatuta ule .... wakati umewadia wa salaamu kwa wagonjwa hosipitalini leo tunawapa pole..... zamani RTD kipindi cha salaam za wagonjwa enzi hizo miaka ya mwanzoni kwa tisini
 
Niliomba wimbo wa madaraka ya jikoni ulioimbwa na nina Musica. Bado sijaupata
 
Pia wimbo wa TOT Plus unazungumzia bali ya mtoto aliyezaliwa hana ndugu. Kalelewa na watu waliomuokota. Kuna sauti za Misambano, Banza na jamaa mwingine kama Mhina (Toto tundu) na una vionjo vya mchiriku mwishoni.
 

NI HII APA KARIBU, KWA NYIMBO ZILIZOSHINDIKANA KUPATIKANA, USISAHAU KUSUBSCRIBE CHANNEL YETU.
Naomba ntafutie wimbo wa caz T mwana wa komba unaitwa Lekambuke na wa unique sisters unaitwa Sikutaka original version siyo walioimba na dudu baya
 
Mkuu unamaanisha ule aliomba na mariam...
"ili mradi nimeridhika nae" ama?
Wenyewe una baadhi ya maneno haya "adhabu ulioyonipa siyo sawa yangu, mpenzi umeniacha bado nakuhitaji, bwana ulompata anakudanganya... "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…