kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,341
Upo humu kuna mdau aliurusha. Jipe muda peruzi kidogokidogo utauonaHuo wimbo unaitwa Beatrice, aliimba na mass media Band
mimi niliutaja mwanzoni hakuna aliyenipa, ukipewa nitag mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo humu kuna mdau aliurusha. Jipe muda peruzi kidogokidogo utauonaHuo wimbo unaitwa Beatrice, aliimba na mass media Band
mimi niliutaja mwanzoni hakuna aliyenipa, ukipewa nitag mkuu.
Fuatilien post za mwanzon buu wimbo kuna mtu aliuweka humuHuo wimbo unaitwa Beatrice, aliimba na mass media Band
mimi niliutaja mwanzoni hakuna aliyenipa, ukipewa nitag mkuu.
Mkuu unamaanisha ule aliomba na mariam...mwenye marium ya q chilla
Huu wimbo ninao.... nipe 2 weeks nirudi home ntakurushiaJamani Ninatafuta wimbo wa Estaam Ft Makamua unaitwa Hii Stori/Sikiliza Wimbo
NI HII APA KARIBU, KWA NYIMBO ZILIZOSHINDIKANA KUPATIKANA, USISAHAU KUSUBSCRIBE CHANNEL YETU.
Wenyewe una baadhi ya maneno haya "adhabu ulioyonipa siyo sawa yangu, mpenzi umeniacha bado nakuhitaji, bwana ulompata anakudanganya... "Mkuu unamaanisha ule aliomba na mariam...
"ili mradi nimeridhika nae" ama?
kama hiyo mkuu
Natafuta wimbo unaitwa " ni zikwe hai" wa man dojo na domo kaya.