Kazitupie Shazam mzeeNaomba kuzijua hizi sounds back wakuu
Njaa ya mkwanja- D KnobKu
Kuna wimbo unataja sana majina ya fedha mengi mengi, kama Dollah, Pulla, mitcash na blante kwenye chorus kama sikosei
Shazam ndo wapi mzee mwenzanguKazitupie Shazam mzee
Ni app ya kutambua muziki, isikilizishe tu hizo clips itakupa jibu sekunde chache tuShazam ndo wapi mzee mwenzangu
Haji ft. Q CHIEF - JOANITAAaah Joanita,
Unajua mimi ni mbeba zege tu
Miezi sita
Nataabika ili niwe na wewe tu
Huu wimbo sijui unaitwaje nimeutafuta sana. Rapa flani ana rasta na kama sikosei Pasha anaimba hiyo chorus...
Mi mwenyew huo wimbo wa sikupenda niishi hivi nautafutaWakuu mwenye nyimbo za offside trick zifuatazo anisaidie
Umenitosa mashairi yake ni imenibidi mi niseme aaaaah kwamba umenitosa x3
Na mwingine unaimbwa hivi mwenzenu mi sikupenda niwe hivi ila mola kaniumba na dhiki nachukuwa na ndg na marafiki sijui mi nitakuwa mgeni wa nani
Pls msaada wenu.
Mkuu tumia google AI mode, kaandike hayo maneno.Habari, natafuta wimbo unasema "sikupenda mimi niishi hivi ila mola ameniumba na dhiki, nachukiwa na ndugu na marafiki" jina la huyo msanii ninani
Njaa ya mkwanja- D Knob