Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Natafuta wimbo wa mwanzoni wa miaka ya 2000 na kiitikio chake kinaimba hv
Dj nipe mdundo kwenye party
Linalosikikaa
Mimi nicheze kwa nafasi kubwa
 
Wimbo wa Amin humo ndani kuna msitari unasema
"Nimefika stendi siendilei na safari ng'o,
Mora kanipa wewe, milele na milele,
Ili nifurai..."
 
Kuna nyimbo nakumbuka maneno tu ila sifahamu jina nimeisikia takribani ni miaka 15 inaimbwa hivi.

YULE MUME ULIEMPENDA KWA NGUVU
KUMBE MUME NI JAMBAZI NA ASUBUHI
MAPAMBANO YAKUTISHA KAKAMATWA NA POLISI…..🎼🎼🎼🎼
 
Kuna taarabu Moja hivi :

"Ni vigumu Mimi kwake kumuacha
Raha zangu yeye anazijuliaaah"

"Hata Kama nimelala huniamsha tuongee"
 
Kuna wimbo flani aliimba Tanzanite unaitwa popobawa nautafta miaka sijaupata tafadhali mwenye nao areply
 
Nisadieni ngoma moja ameshilikishwa steve kabuye inaitwa TANGAZO nahisi kama na bandago yumo nyingine jina nimesahau na muimbaji nimemsahau kiitikio kinasema "wacha part wee ngoma lipigwe watu wacheze wacha part iendelee"
Master,pole sana nimekua nikiutafuta sana pia ulifanikiwa kuupata?
 
Back
Top Bottom