hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 6,853
- 4,552
Hamza kalala -vicky wangu
Inaitwa "Aah wapi "Kuna
kuna ngoma ya juma nature anasema
“anangoma ana ngoma ngoma umempa wewe”
Kama sikoseiiii
Tupo mistari!Hakuna nyimbo nayoitafutaga nikaikosa hadi wimbo wa mussa ninao.
Mkuu naomba nyimbo zote za Mushroom zile zinazopigwa Harusini au shughuli.Hebun sikiliza huu kama ni wenyewe
Unaitwa walimwengu wabayaUle Wimbo nahic cjui wa Twanga pepeta Jina sikumbuki ila Kuna sehemu Wanaimba hv
Iyee Nyama yao dada
Umeondoka dada
Umeniacha mkiwa
Umeondoka wee umeniacha mkiwa Dada
Mzee mie kuna nyimbo nazitaftaga sana sijawahi kuzipata, nadhani zipo kwenye album ya mwaka 1995 kwenye uchaguzi, tot band ya kina mh komba na wenzie, nyimbo kama mwongo, twende tukazime, tukazane kuombaNi wimbo wa Mheshimiwa Temba, unaitwa Mpenzi Nakumaindi. Huu hapa, enjoy! Gonga like nyingi sana
Huu hapa, enjoy!Ule Wimbo nahic cjui wa Twanga pepeta Jina sikumbuki ila Kuna sehemu Wanaimba hv
Iyee Nyama yao dada
Umeondoka dada
Umeniacha mkiwa
Umeondoka wee umeniacha mkiwa Dada
Anzia hapa 👇👇👇Mkuu naomba nyimbo zote za Mushroom zile zinazopigwa Harusini au shughuli.
👇👇👇 Wimbo huo hapoEeh bwana Elimu ya Mjinga hiyo ni ngoma ya zamani sana! Banza Stone alikuwa na vibao vingi ila hiki ndicho kibao chake maarufu zaidi hasa kwa wale waliokua wanasikiliza kipindi hicho. Huyo jamaa alikuwa na sauti na mtindo wa kipekee, ila inaonekana kibao hiki hakijapata kuwekwa mtandaoni na watu wengi wanaendelea kukitafuta. Naamini kuna mtu ana hiyo CD au cassette mahali flani hapa JF atakusaidia. Mimi nilikuwa natafuta kibao kingine cha zamani cha wimbo wa "Mama" kutoka kwa mwanamuziki fulani wa bongo flavor, na bahati nzuri nilikipata kupitia mtu aliyekuwa na kumbukumbu nzuri sana. kweli
Huu hapa 👇 👇 👇Ring on it ya tng squard
Sikiliza huu kama ni wenyewe. Kama sio nijuzeHamza kalala -vicky wangu
Shukran sanaSikiliza huu kama ni wenyewe. Kama sio nijuze