Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Wakuu ndo nimekosea ule wimbo wa Msondo Ngoma Wanaimba Hivi

Wala Usishangaee
Wala Usishangaee
Ukiona mtaani kwetu Kuna Sherehe
Wawili wapendanao Wanafunga ndoa
 
Kuna wimbo Mmoja unaita Flora, Pajero ya Baba alipokuwa anampeleka Flora Seronera....
Hebu usikilize huu kma ni wenyewe. Ni wimbo wa Hamza Kalala na Bantu Group unaitwa Flora. Kama sio tuambizane tuendelee kuusaka. Kwa nilivyousikia mashairi ni hayo hayo ya Seronera na Mikumi mbugani
 
Attachments

Mkuu ndio wenyewe shukrani sana. Sasa huu naona ni Remix kunaoreginal yake nafikiri hivyoo...
 
Huu hapa best. Naona umeulili sana. Wimbio unaitwa Penzi kizungumkuti
Shukrani Mkuu Naomba na Huu Wimbo wa bongo fleva wa Zamani kama unao Wanaimba hv

Mpenzi Nimekubali Uwe Wangu Maishani
Wanacheza Wapige kelele wanga
Wakichoka Waje wabwage manyanga
 
Shukrani Mkuu Naomba na Huu Wimbo wa bongo fleva wa Zamani kama unao Wanaimba hv

Mpenzi Nimekubali Uwe Wangu Maishani
Wanacheza Wapige kelele wanga
Wakichoka Waje wabwage manyanga
Ni wimbo wa Mheshimiwa Temba, unaitwa Mpenzi Nakumaindi. Huu hapa, enjoy! Gonga like nyingi sana
 
Attachments

Sijui jina. Inaimbwa hivi.

Inapofika mwisho wa mwezi kasimu huonekani...

Ni nyimbo inayomzungumzia kasimu Kila akipata mshahara. Akifika mwisho wa mwezi anapotea. Hasa has alivyopata kazi.

Ni zilipendwa
 
Back
Top Bottom