Huu wimbo hata mimi nautafuta sana.Nisaidie mimi mafua - etyaa
Inauma mimi sana jamani - etyaa
Nisaidie mimi mafua - etyaa
Ni mbaya - etyaa
Ni mbaya - etyaa
Ngoma aliimba Mr. Ebbo inaitwa Mafua, ninaisaka sana hii wakuu
"Lamar kwa hii beat hihop itahit hata kwa mbinde"mimi ni zaidi ya msanii-yuko Geez Mabovu,fid q,Jay mo na wengine wengi,beat ya Lamar....aliyenayo anisaidie wazee
hii wadaunatafuta nyimbo ya zamani iliimbwa hivi" kaka sele, kak selemani eeh nakutuma nenda kwa Baba na Mama eeh waeleze hata na rafiki zangu mambo yote yapo Dar es salaam eeh..
Huo wimbo unaitwa Tutabanana hapahapa, ni wimbo wa Hamza Kalala akiwa na bendi yake ya Bantu group. Upo kwenye album ya Ngozi ya kitimoto.hii wadau
Hao nadhan bantu group chin ya komandoo hamza kalalahii wadau
Convert online youtube to Mp3 kisha downloadMwenye Audio ya Tumaini Shangilieni Choir-Silaha ya ushindi ukinisaidia utakuwa umetisha.
Big up mdau kumamaee nipo iran nikalikumbuka hili goma kuingia humu kusearch tu dude hili hapa🙌🙌🙌🙌Niliweka hapo juu kwenye post za nyuma. Nauweka tena
Nimezikuta baadhi, hizi hapahi
Msaad kupata Nyimbo zifuatazo
A to Z- Aveli
Tunaendana- Warwil feat Pipi
Haya we- Solo Thang feat Q chief
style gani- wakali kwanza