Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Ningejua jina la wimbo ningeuweka. Nitajieni jina
Ni wimbo wa MSONDO JAZZ BAND, ila jina ndio silijui Mkuu! Baadhi ya mistari yake ni:

"wakati wa uhai wake shangazi alinunuliwa vitu vingi na kila mmoja wetu lakini tatizo ni pale avyofariki shangazi yetu ..........."

Mkuu, nitashukuru sana kama nitaupata wimbo huu!
 
hi
Msaad kupata Nyimbo zifuatazo
A to Z- Aveli
Tunaendana- Warwil feat Pipi
Haya we- Solo Thang feat Q chief
style gani- wakali kwanza
 
Kuna wimbo wa Matimila band wakiwa na Remmy Ongala. Nautafuta . Kipande chake hiki. Mwenye kuujua tafadhali
 

Attachments

Kuzipata zote sio rahisi, given kwamba Mungu alimchukua kungali na teknolojia ya tape, nyimbo zake nyingi zilikuwa katika mfumo wa analogue. Mie naanza kukuwekea nilizo nazo. Wengine watajazia. Anza na hizi
Ahsante sana kaka ubarikiwe sana
 
Habari ndugu.

Naomba ule wimbo flaani hivi kaimba mwanamke.
Unasema JANA USIKU NILIOTA NDOTO DUNIA NZIMA IMEWAKA MOTO
JUA ILINYESHA NA MVUA IKAWAKA.
 
Natafuta wimbo ule ulikuwa ukipigwa Redio Tanzania enzi hizo kabla kipindi cha MAMA NA MWANA kuanza
 
Nisaidieni wimbo wa mwinjuma muumini una kionjo Cha " namwaga radhi,,, wanaitikia huwezi... Nivue muone'
Na nyingine ya extra bongo " kichaa kapewa rungu usijaribu kupita mbele yake"
 
Kama kuna mdau ana wimbo wa Yego ft mad ice unaitwa malkia wa ghetto aupandishe hapa ulipigwa sana radio free Africa enzi hizo shukrani..
 
Natafuta wimbo flani wa banana zorro sehemu ya wimbo huo unaimbwa
Napiga simu hapokei...
Akipokea haongei..na akiongea ananikaripia
Anapenda kubembelezewa na maneno matamu kuelezwa
Lakini nashangaa mbona hanipi nafasi ningee nae,nimwimbie nyimbo nzuri za mapenzi...
 
Back
Top Bottom