Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Wakulungwa naomba munisaidie kupata hizi nyimbo;

1: C-Sir Madini Ft Josefly - Ndagu.
2: Vedasto Ft GodZilla - Maumivu.

Natanguliza shukrani kwenu.
Hizi hapa
 

Attachments

Natafuta pia mwingine ni kwaya

Huwa inaimba Nina baba yangu asiyeshindwa kamwe , YESU ni baba yangu asiyeshindwa kamwe BABA imara asiye shindwa

Hata waniseme hata wanitukane YESU ni baba yangu asiyeshindwa kamwe
 
Wimbo unaitwa Jimmy Chocolate, utunzi wa marehemu Malou Stonch. Kundi ni Stono Musica, likiongozwa na Ndanda Cosovo Kichaa, baada ya kujigawa kutoka FM Academia.
Du! Asante sana. Kweli JF kuna mambo mengi!
 
Natafuta wimbo wa zamani kidogo ameimba mwanaume lakini kuna sehemu anaitikia mwanamke kwa kusema "longolongo"

Unaimbwa hivi
"elewa mama ninachosema wasije sema nakupiga.... longolongo
 
Natafuta wimbo wa zamani kidogo ameimba mwanaume lakini kuna sehemu anaitikia mwanamke kwa kusema "longolongo"

Unaimbwa hivi
"elewa mama ninachosema wasije sema nakupiga.... longolongo
Huu wimbo nahisi alishirikishwa Mr. Paul. Sijajua kaimba nani lakini nitautafuta
 
Mwenye audio ya sikinde
"sasa nasikia umefanya visa vingi hata mama yangu humthamini eee"
Jina lake siljui
Halafu kuna wimbo wa msondo kama sikosei unaitwa talaka rejea naombeni
Wakuu hebu nisaidieni hapa
 
Natafuta wimbo wa OTTU JAZZ BAND. Baadhi ya Mashauri yake ni:

"Wakati wa uhai wake Shangazi alinunuliwa vitu vingi na kila mmoja wetu .................."

Nitashukuru sana kama nitaupata toka kwa mwana JF anayeufahamu.
 
Back
Top Bottom