Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna wimbo wa zamani wa bendi ( mfano wa Kilimanjaro Njenje) mashairi yake "...nampenda mpenda nani, nampenda...". Msaada anayeukumbuka
 
Wakubwa kuna wimbo wa bongofleva wa zamani sana ulikuwa una baadhi ya maneno kwenye kiitikio, "Wazuri hawaishi, wakipitapita, macho yaniuma, huku nawaita, ..... apite wakizungu sijuii, apite wakiarabu sijuiii" ... sijui msanii gani aliyeimba ila nakumbuka baadhi ya hayo maneno ni wimbo wa zamani sana wa bongofleva
 
JAMANI EEH...Kuna wimbo niliusikiaga nikiwa kijana Mdogo Mdogo wa madilu mult system unaimba kiitikio
" ayeeee ayeeee Sherie eeeeeh " ni nyimbo flan ya taratibu hii nyimbo nimeitafuta Hadi nataman kulia mana siupati na zaidi siujui jina lake ila siwez sahau saut yake mzee mzima mtaalam madilu system ..
 
WIMBO NAO UTAFUTA
Sarafina—-band flan akiwemo Hussen jumbe
Kachichi-Band flan akiwemo hussen jumbe

Nani kaiona kesho -hussen jumbe
Huo wimbo ninao ila sina uhakika na hilo jina. Ngoja niusake
 
Back
Top Bottom