Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
HUU ORIGINAL SIYO WA VIJANA JAZZ BALI NI WA WASHIRIKA WATU NJATA NJATA. N ILIKUWA NAPENDA SANA KUUSIKILIZA UNASIKITISHA SANA. MWINGINE NILIOKUWA NAUPENDA NI ULE WA LUTADILA, MAMA ANAMLILIA MWANAWE AMEMSAHAU HUKU BABA YAKE ALISHAFARIKI YEYE AKIWA HANA HABARI, MAMA KABAKI PEKE YAKE NA HANA MSAADA, ANAMLILIA LUTADILA

Enjoy brother...


 
Ahsante kwa wimbo

Still, hata huu siyo original, ni replay. Original ulikuwa na maneno yanasema hivi: MIMI MAMA YAKO SINA KANGA WALA SHUKA, CHAKULA CHANGU KWELI NI SHIDA, WENZANGU WOTE WANANICHEKA. Baada ya hapo ndiyo yanafuata sasa maneno yanasema BABA YAKO AMEKIWISHAKUFA HATA HABARI HUNA, HATA HURUMA HUNA KWA KWE KWELI
 
WIMBO NAO UTAFUTA
Sarafina—-band flan akiwemo Hussen jumbe
Kachichi-Band flan akiwemo hussen jumbe

Nani kaiona kesho -hussen jumbe
 
Kuna nyimbo ya band flan hivi nimesahau jina " ilikuwa inapigwa sana kipindi cha msiba wa hayati Raisi John Pombe Magufuli"
"Maudhui yake yanasisitiza sana Tanzania kuwa na umoja" nyimbo yenyewe ya kitambo kidogo, mwenye nayo bila shake kanielewa.. hivyo naomba atuasini kutupatia wanajamvi
 
natafuta wimbo wa josefly-sauti za mtaa,na wimbo wa young dee-cowbama mwenye nao anisaidie KIOO
 
Back
Top Bottom