Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Ombi la kwanza watu muliopo mkoani MWANZA naomba nyimbo za FOUR STARS BAND maana nazitafuta mtandaoni sizipati,nimetanguliza watu wa mwanza maana hiyo band maskani yake ni uko,
ila kama kuna mtu popote anazo nyimbo za hao jamaa naomba anisaidie.

Ombi la pili kuna wimbo wa REGE sijuwi jina la muimbaji wala la wimbo,
uimbaji wake kama ALPHA BLONDY kiitikio chake ameimba tu;

ooh ooh ooOOOH,
oooh oooooh,

Wimbo wa zamani sana kama kuna mtu anajua jina la muimbaji au la wimbo aniambie, na kama kuna mtu anakumbuka icho kiitikio hapo na anao anisaidie kuweka hapa.
 
Naomba mwenye wimbo wa dini wa zamani sanaa unaimbwa hivii..
Mvua ilianza kunyesha bila kukatikaa.. ina husu safina ya Musa..
Wakati ule wa nuhu
Screenshot_20250428_133047_VLC.jpg
 
Wahenga wenzangu mwenye nyimbo hizi nasiomba tafadhali
1.DOLPHIN POSSE - SIVYO ALIVYO
2.K.BASIL FT SOLO THANG - WANIPA RAHA
3.MAMBO JAMBO - KICHUNA(NAKUPENDA)
NATANGULIZA SHUKRANI
 
Nikki mbishi ft professor j - Mtazomo remix
nimeitafuta sana lkn nimegonga mwamba
 
Vijaza jazz bendi "maisha ya sasa ni magumu, inatubidi tuyabane matumizi" nautafuta huu wimbo
 
Back
Top Bottom