Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Weka orodha ya nyimbo zake ndg. Maana library yangu haijapangwa kwa album, imepangwa kwa titles za nyimbo
Shukrani in advance.
1.Inaniuma sana
2.Sitaki demu
3.Sitaki demu remix
4.Jela
5.Salio la vesi
6.Aah wapi
7.Ugali
8.Hali ngumu
9.Umoja wa Tanzania (Ft Professor Jay)
 
Sinyora sinyorota mwenye uzuri wa malaika,

Sinyora, sinyora kweli nakupenda, lakini tatizo sijui kispainola.

Nautafuta huu wimbo
 
Natafuta wimbo wa bozi boziana

Maneno ninayo yakumbuka ni

Kumakumbele ndili ndili ndilili
 
Shukrani in advance.
1.Inaniuma sana
2.Sitaki demu
3.Sitaki demu remix
4.Jela
5.Salio la vesi
6.Aah wapi
7.Ugali
8.Hali ngumu
9.Umoja wa Tanzania (Ft Professor Jay)
Hizi hama ndg. Enjoy muziki wa Majani
 

Attachments

Wakulungwa naomba munisaidie kupata hizi nyimbo;

1: C-Sir Madini Ft Josefly - Ndagu.
2: Vedasto Ft GodZilla - Maumivu.

Natanguliza shukrani kwenu.
 
wakuu habari za wakati huu. naomba msaada kupata nyimbo zote za marehemu/ hayati JUSTINE KALIKAWE. Natanguliza shukrani.
 
wakuu habari za wakati huu. naomba msaada kupata nyimbo zote za marehemu/ hayati JUSTINE KALIKAWE. Natanguliza shukrani.
Hizo za justine kalikawe karibu nyimbo zote waliwekaa humu, jitahidi kutembea kwenye hii thread utazipata zipo pamoja tu.
 
Mwenye audio ya sikinde
"sasa nasikia umefanya visa vingi hata mama yangu humthamini eee"
Jina lake siljui
Halafu kuna wimbo wa msondo kama sikosei unaitwa talaka rejea naombeni
 
Sugu ft lady jaydee &bdp muda mrefu kama kuna mdau anao huu wimbo aweke hapa..
 
Kuna wimbo nilikuwa nautazama Star TV miaka hiyo hakika nikiupata ntakumbuka mbali sana. Wimbo ule ndani yumo Chai Jaba na Ndanda Kosovo na wenzao wengine.

Baadhi ya maneno yanayopatikana ndani ya wimbo:

Aiko tajiri mama, mumasikini kama mimi, muto mutoto ya mujini na ma na mama mupae.

Nalia nalilia nini ali jeje!
 
wakuu habari za wakati huu. naomba msaada kupata nyimbo zote za marehemu/ hayati JUSTINE KALIKAWE. Natanguliza shukrani.
Kuzipata zote sio rahisi, given kwamba Mungu alimchukua kungali na teknolojia ya tape, nyimbo zake nyingi zilikuwa katika mfumo wa analogue. Mie naanza kukuwekea nilizo nazo. Wengine watajazia. Anza na hizi
 

Attachments

Kuna wimbo nilikuwa nautazama Star TV miaka hiyo hakika nikiupata ntakumbuka mbali sana. Wimbo ule ndani yumo Chai Jaba na Ndanda Kosovo na wenzao wengine.

Baadhi ya maneno yanayopatikana ndani ya wimbo:

Aiko tajiri mama, mumasikini kama mimi, muto mutoto ya mujini na ma na mama mupae.

Nalia nalilia nini ali jeje!
Wimbo unaitwa Jimmy Chocolate, utunzi wa marehemu Malou Stonch. Kundi ni Stono Musica, likiongozwa na Ndanda Cosovo Kichaa, baada ya kujigawa kutoka FM Academia.
 

Attachments

Back
Top Bottom