Naomba nyimbo za injili za "HURU WAIMBAJI WA NYIMBO ZA SIFA"Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
HUU ORIGINAL SIYO WA VIJANA JAZZ BALI NI WA WASHIRIKA WATU NJATA NJATA. N ILIKUWA NAPENDA SANA KUUSIKILIZA UNASIKITISHA SANA. MWINGINE NILIOKUWA NAUPENDA NI ULE WA LUTADILA, MAMA ANAMLILIA MWANAWE AMEMSAHAU HUKU BABA YAKE ALISHAFARIKI YEYE AKIWA HANA HABARI, MAMA KABAKI PEKE YAKE NA HANA MSAADA, ANAMLILIA LUTADILAWimbo wa "Watoto Wamekuja Juu" original version ni ya Vijana Jazz. Baadaye mwanamuziki Komandoo Hamza Kalala aliurudia kwa Master Jay, ambapo umerekodiwa kwa ubora wa haki ya juu sana. Nimekuwekea zote mbili. Huo wa Matapeli nao nimekuwekea, quality iko vizuri sana. Enjoy mwamba. Usisahau kugonga like
Dah nilikua nazitafuta sana hz, ila kwny comp yangu nimeshidwa kuzidownloadHaya hizi hapa, pambana na hali yako!
Upo sahihi kabisa. Walioimba ni Washirika Stars!HUU ORIGINAL SIYO WA VIJANA JAZZ BALI NI WA WASHIRIKA WATU NJATA NJATA. N ILIKUWA NAPENDA SANA KUUSIKILIZA UNASIKITISHA SANA. MWINGINE NILIOKUWA NAUPENDA NI ULE WA LUTADILA, MAMA ANAMLILIA MWANAWE AMEMSAHAU HUKU BABA YAKE ALISHAFARIKI YEYE AKIWA HANA HABARI, MAMA KABAKI PEKE YAKE NA HANA MSAADA, ANAMLILIA LUTADILA
Walioimba ni Tancut almasi, bendi kutoka Iringa kama sijakosea!HUU ORIGINAL SIYO WA VIJANA JAZZ BALI NI WA WASHIRIKA WATU NJATA NJATA. N ILIKUWA NAPENDA SANA KUUSIKILIZA UNASIKITISHA SANA. MWINGINE NILIOKUWA NAUPENDA NI ULE WA LUTADILA, MAMA ANAMLILIA MWANAWE AMEMSAHAU HUKU BABA YAKE ALISHAFARIKI YEYE AKIWA HANA HABARI, MAMA KABAKI PEKE YAKE NA HANA MSAADA, ANAMLILIA LUTADILA
Hapana; Tancut Almasi ya akina Kasaroo Kyanga na Kyanga Songa naifahamu vizuri. Kwenye miaka ya 1992-1995 nilikuwa nao karibu sana, walikuwa kama family friend wetu. Ndugu yangu mmoja aliwahi kuanzisha BAND ya muziki ambayo hawa watu walikuwa wanaimba. Ilikuwa inaitwa STUA (SELECTED TANZANIA UNITED ARTISTS). Bendi hii ilikuwa inajumuisha wanamuziki wote maarafu Tanzania wakiwemo akina Ndala Kasheba, Remmy Ongala, Hamza Kalala, King Kiki, King Marou, na wengine wengiWalioimba ni Tancut almasi, bendi kutoka Iringa kama sijakosea!
Hiyo ni sehemu ya mistari ya Josefly kwenye ngoma ya mganga aliyoshirikiswha na Sajna..Kuna ule wimbo,
Unasema hivi "Katika mashekhe wa kali kalina ,dari darina na mimi nimo nimo"
Hii ni hip pop sjui kaimba nani?
Kule kwetu Tanga mwanaume ndo anakwenda sokoni mwanamke anabaki nyumbani akichochea kuni jikoni . Natafuta sana na mimi wajamen"usinune utazoeaaaa usinune utazoeaaa usinuneeeeeee utazoeaaa" ni hvyo tu mkuu
wakuu mwenye wimbo unaitwa tulia uliimbwa na Jackie Marie naomba.
Hio nyimbo nakumbuka kaimba jagwaKuna wimbo jamaa wanatia huruma wanaimba "Twende wapi mama ooh,tukaeleze matatizo yetu" ulikuwa unapigwa kwenye kipindi flani cha watoto wanaoishi mazingira magumu
Acha kubishana huo wimbo ni wa feruz ft Daz nundazHapana kaka huo ni wa Daz nundaz sema na jina la member wa Daz nundaz Scout Jentaz limetajwa sana
Bonge la ngomaYou are right man.... hiyo ni Nizoee yake Critic ft. Daz Nundaz.