Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Hizo 3 jamani nazitafuta 👇
Najuta KUKUFAHAMU- madee
MBISHI REAL -AMEBAKA
AFANDE- UMEONDOKA
 
Nimetafuta sana huu wimbo nimeukosa naombeni msaada.
Wimbo: Pastor Ushindi - neema zake Mungu
 
Natafuta wimbo wa
1 John walker Nakupenda au baby baby
2 ferooz sauti na vyombo
3 ferooz Aisha
4 zile beat za zamani kutoka south Africa zilizokuwa zikitumika kwenye maharusi

NAOMBA KUWASILISHA🙏
 
Kuna wimbo wa bongo fleva nautafuta ameimba dogo flani anaitwa Bright. Siufahamu jina ila maudhui yake anamkumbuka mama (Marehemu).
 
Natafuta nnje ya box Nikki wa pili na pass the mic around huu ulifanywa na wasanii kadhaa wa arusha rap song tafadhali nisaidie apa
 
Kuna SANGULA inapigwagwa kwenye maharusi, ina mzuka f'lan hivi yaani kama kuna ngoma inapigwa ndani ya beat anayeifahamu naiomba
 
Wakuu msaada mwenye nimekubamba ya Joni woka ft cheleaman
 
Naomba wimbo wa hawa majamaa wa rchuga;
Rugenga ft fido vato & zido star - wake up.
 
Back
Top Bottom