Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Muongo muongo ee! mbea mbeaa sawasawa na tapeli, ee muongo, muongo hakaribishwi mbinguni, muongo, mbea anaua, muongo rafiki yake shetani
 
Kwema wakuu, naomba nyimbo za Samson, Nuhu, upendo, n.k kutoka kwenye kwaya ya Barabara ya 14 Ulyakulu, hao waimbaji walikuwa wakimbizi toka Burundi, album nzima ya hizo nyimbo ishawahi kuwekwa kwenye uzi huu ila imeitafuta bila mafanikio. Natanguliza shukrani
 
Mwingine ni ule unaitwa huyu jamaa. Daz baba alifanya chorus
Chorus ilikua hivi....wanamuita kakapoa huyu jamaa, wwanamuitamambo safi huyu jamaa wanamuita mtoto wayu huyu jamaa sijui ni dhiki au laana nakuomba umsamehee maulanaaa...
Born crew ft daz mwalimu
 
Kwema wakuu, naomba nyimbo za Samson, Nuhu, upendo, n.k kutoka kwenye kwaya ya Barabara ya 14 Ulyakulu, hao waimbaji walikuwa wakimbizi toka Burundi, album nzima ya hizo nyimbo ishawahi kuwekwa kwenye uzi huu ila imeitafuta bila mafanikio. Natanguliza shukrani
Mbona zipo yutube
 
Mwenye wimbo wa Jagwa music unaitwa MWANA WA KITWANA aweke hapa wakuu,nimejaribu kutafuta audio yake kila chocho lakini nimekosa
 
Mwenye wimbo wa Jagwa music unaitwa MWANA WA KITWANA aweke hapa wakuu,nimejaribu kutafuta audio yake kila chocho lakini nimekosa
Mkuu kwa kukusaidia tu, kuna App inaitwa cloudsmediatz.com inapatikana hiyo audio mi nime_dowload uko,
au ingia google andika mwana wa kitwana itakuja hiyo app ikiwa na huo wimbo.
 
huwa napenda soma michango ya wadau hasa wakieleza vile wimbo unaimba yaani ni burudani tosha
 
Mkuu nimejaribu ila naona sasa hv cloudsmediatz haifunguki,na ikifunguka inaleta mambo ya betting so naomba kama unao nitumie chief!
 
Mwenye album ya mwinjuma muumini zawadi ya watanzania na album ya kiu yamapenzi anitumie WhatsApp. 0754906130 vocha zipo
 
"taratibu nasema bado, njoo tujirushe na mambo gado, kwenye mitindo ya adoado...kama DJ wako gado" anaeujua huu tafadhali
 
"taratibu nasema bado, njoo tujirushe na mambo gado, kwenye mitindo ya adoado...kama DJ wako gado" anaeujua huu tafadhali
Zay B Sasa Yuko gado , gadoo
Mashairi yake yamejaa kisado, sadoo,

Kweli mashairi yake ualiosha mapema YAANI kisado TU, nitakuchinja
 
Zay B Sasa Yuko gado , gadoo
Mashairi yake yamejaa kisado, sadoo,

Kweli mashairi yake ualiosha mapema YAANI kisado TU, nitakuchinja
Hapana mkuu sio hii gado ya zay B,..niliyopost kama sikosei ni ya Fid Q nimejaribu ku-search sijaipata
 
Back
Top Bottom