Tuff
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 443
- 1,031
Msanii anaitwa Nuruely, wimbo uliitwa "Mambo Bado" akishirikiana na Fid Q."taratibu nasema bado, njoo tujirushe na mambo gado, kwenye mitindo ya adoado...kama DJ wako gado" anaeujua huu tafadhali
Msanii anaitwa Nuruely, wimbo uliitwa "Mambo Bado" akishirikiana na Fid Q."taratibu nasema bado, njoo tujirushe na mambo gado, kwenye mitindo ya adoado...kama DJ wako gado" anaeujua huu tafadhali
💯💯💯 sahihi kabisa!! Shukrani sana mkuu👏🏽Msanii anaitwa Nuruely, wimbo uliitwa "Mambo Bado" akishirikiana na Fid Q.
Huo wimbo ninao ameimba Suelemani Mbwembwe, TX Moshi na Nico Zengekala wote ni marehemu kwa sasa. Ila sijauandika jina na nina nyimbo nyingi ngoja nitafute nikiupata nitauweka. Halafu unielekeze jinsi ya kum-tag mtu ili nikiupata kwenye gallery ya simu yangu niutume na niku-tag.Naomba mwenye wimbo "SHIDA MPAKA LINI" wa Msondo Ngoma uliotungwa na kuimbwa na Suleimani Mbwembwe (RIP). Yoyote aliyenao "audio original version" aliyoimbwa Mbwembwe mwenyewe naomba sana aitume hapa kwenye huu uzi halafu anitag niupakue. Huu wimbo nimeutafuta kwa zaid ya miaka miwili mtandaoni lakini sijawahi kuupata zaidi ya kuusikia tu redioni.
Unaitwa "shida mpaka lini"Huo wimbo ninao ameimba Suelemani Mbwembwe, TX Moshi na Nico Zengekala wote ni marehemu kwa sasa. Ila sijauandika jina na nina nyimbo nyingi ngoja nitafute nikiupata nitauweka. Halafu unielekeze jinsi ya kum-tag mtu ili nikiupata kwenye gallery ya simu yangu niutume na niku-tag.
Hello mi naomba unitumie wa Top T nimekufananishaHapo mzinga Bend ndo sina. Na zikizobaki zote zinapatikana mtandaoni, jaribu kutafuta kwanza ukikosa mimi nitakutumia
Miaka 6 baadae niliupoteza huu wimbo, dah nimefurahi sanaSijui kama ndio huu!