Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Nisaidieni wimbo wa mwinjuma muumini una kionjo Cha " namwaga radhi,,, wanaitikia huwezi... Nivue muone'
Na nyingine ya extra bongo " kichaa kapewa rungu usijaribu kupita mbele yake"
Niliziweka zote hizo. Hapo kwenye search ukiafuta utazipata zoote za Muumini
 
Mwingine ni ule unaitwa huyu jamaa. Daz baba alifanya chorus
Chorus ilikua hivi....wanamuita kakapoa huyu jamaa, wwanamuitamambo safi huyu jamaa wanamuita mtoto wayu huyu jamaa sijui ni dhiki au laana nakuomba umsamehee maulanaaa...
Huu hapa. Enjoy
 

Attachments

Mwenye album ya mwinjuma muumini zawadi ya watanzania na album ya kiu yamapenzi anitumie WhatsApp. 0754906130 vocha zipo
Weka orodha ya nyimbo zilizo ktk hio album, nitakurushia zote.
 
Back
Top Bottom