Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
SioHebun sikiliza huu kama ni wenyewe
SioHebun sikiliza huu kama ni wenyewe
Sasa huyu ndio kaurudia wimbo wa kilwa jazz babd unaitwa napenda nipate lau nafasiAnaitwa Makassy Junior. Nakuwekea hapa
Nimekupata mdau. Hebu usikilize huu nilio attach hapa, kama ni wenyewe. Kama sio tuendelee kuusakaSasa huyu ndio kaurudia wimbo wa kilwa jazz babd unaitwa napenda nipate lau nafasi
Ndio nautafuta ule
Aaah we jamaa😄😄😄😄😄Nimekupata mdau. Hebu usikilize huu nilio attach hapa, kama ni wenyewe. Kama sio tuendelee kuusaka
Unanisindkz vyema nikiwa kwenye lager cc secretarybird njoo msikie baba parokoAnaitwa Makassy Junior. Nakuwekea hapa
Jamaa kanyimwa papuchi na mkewe hadi anakwenda kumsemea kwa baba paroko 😂.Unanisindkz vyema nikiwa kwenye lager cc secretarybird njoo msikie baba paroko
Mamaae so poaJamaa kanyimwa papuchi na mkewe hadi anakwenda kumsemea kwa baba paroko 😂.
Ntafutie ile ya Yesu kristu by Kanda bongo i request bravo Idimi
Ngoja nikipata nitakurushia.Ntafutie ile ya Yesu kristu by Kanda bongo i request bravo Idimi
Kuna siku ukinitumia na za kina MoniqueNgoja nikipata nitakurushia.
Okomn au Adeba?Kuna siku ukinitumia na za kina Monique
OkomnOkomn au Adeba?
Ngoja nikutumia saa hii juu Niko nao kwa simu.Okomn
Tuma kwa Whatsapp yangu surelyNgoja nikutumia saa hii juu Niko nao kwa simu.
Nimeshatumanga saa mingi.Tuma kwa Whatsapp yangu surely
Huo unapatikana kwenye Naniliih..!!Natafuta kuna ue wimbo unapiga hivi
ndindiii... ndinddiii.... ndiii.... tiiitiii ....ndindindindi.... tttiiitiiiii
Tafadhali sana kama naweza kuupata
Unaitwa SALAM Chorus Berry BlackFID Q NA MWNA FA WANAMUIMBIA MREMBO MMOJA HII WANAPOKEZANA