Thanks nimeupata mkuu asante sana .Sijaupata mkuu . Unaitwaje
Wimbo unaitwa Oktoba tunatikiSijaupata mkuu . Unaitwaje
Naam SheheNouvelle generation-Umepigwa na ochestre lipua lipua na Nyboma mwaka 1976
Sijaupata mkuu . Unaitwaje
Naam Shehe
Huo wimbo umeimbwa na MAKASSY JR, mimi niliupata kwenye thread hii hii.yule jamaa kaimba bab paroko ni nani?