Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Naomba kuzijua hizi sounds back wakuu
 

Attachments

  • instagram-1790112098792.mp4
    4.8 MB
  • instagram-1790111350543.mp4
    3.4 MB
One the incredible & Ghetto Ambassador "Kila Saa". Tafadhali mwenye nao.
 
Natafuta hizi nyimbo

1. Black Skull - Mgambo / wagambo
2. Spider Ft. Steve 2k - shani
3. Fm Academia - Jela ( wanaimba jeela, jeela ni mbaya. Jeela, jeela ni mikosii)
4. Mas Media (wakiwa na Zahir Zoro - baba yake Banana zoro) - Beatrice
 
Msaada kuna wimbo mmoja wa kikongo anaimba mwanamke, ni wa taratibu sana na ingawa sielewi kinachoimbwa lkn ni kama ya huzuni.

Radio free wanapenda kuitafsiri kipindi cha bolingo time hata mwaka huu wameifanyia tafsiri
 
Back
Top Bottom