Mwenye nyimbo fulani hivi ya watu wa huko chunya mbeya.. unaimbwa hivi..
Sema noo sema noo
Usikubali eeh usikubali dada usikubali eeh
Sema nooo..
 
Unaitwa July
 
Natafuta wimbo wa Mr 2 a.k.a Sugu unaitwa Barua ya wazi kwa Rais. Huu wimbo Sugu alizungumza vitu vingi kuhusu mwenendo wa Uchumi na uongozi wa nchi Wakati wa utawala wa Mkapa. Nimeutafuta sana bila mafanikio.
 
kuna sebene flan hivi linaimbwagwa kidon saaana.... lina drum matata afu wanaimba taratiiiiiibu....

inataka kufanana na ile lina wa mama wa mama eeh wa mamA
 
Kuna wimbo fulani unaimba, 'Huyu ni Mungu ni Baba. Huyu Mungu ni baba' Una mahadhi ya kikongo vile
 
Kuna wimbo uliimbwa nadhani na mohamed maneti
Baadhi ya maneno yake yanasema " wanataka kutugombanisha halafu kiitikio jamani nifanye nini
Aaah nifanye nini naelewa mazoea yanatabu ningepata jina la wimbo huu
 
Natafuta wimbo wa dini umeimbwa Na Kinondoni revival kwaya, wa kitambo kidogo unaitwa "wrong number shetani kwangu".

Pia kuna wimbo mwingine umeimbwa Na Nioth Prophetical singers unaitwa " Mapambazuko" upo kwenye album yao ya "Unangoja nini".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…