Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Thanx sana ndugu, hauna 'Simulizi za ufasaha', 'tatizo noti' by gangwe mobb, 'lekambuke' by Caz t?
 
Msaada…
Kuna wimbo aliimba aliyekua mtengenezaji nyimbo na mwanamuziki maarufu `SAID COMORIEN` jina la wimbo silijui.
 
Natafuta wimbo wa Ottu Jazz Band Udini na Ukabila(inapotokea vita wanaoteseka ni watoto na kinamama pia)Nautafuta cku nyingi sana sijaupata nisaidieni tafadhali
 
Natafuta Wimbo wa Afande Sele_Mashikolo Mageni aliuimba mwaka 2012 kutoka Kwanza Records Morogoro
 
Wanajamvi natafuta wimbo flan hivi ni bongo fleva za mwanzo kabisa una mahadhi ya Kichaga, "Ni jinsi gani, ni namna gani tutafanya.........." Chorus ilikuwa majina ya wachaga " Kavishe alikuwepo, Limo alikuwepo, Marialle alikuwepo etc" Angalau Jina la wimbo na la Msanii please.
 
Wakuu nipeni nyimbo za Emanuel nkulila, hasa ule wa "miss Tanzania"!
 
Back
Top Bottom