blackstarline
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 3,278
- 7,966
Emmanule nkulila pain in me
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Emmanule nkulila pain in me
Kina nani hao??unazungumziaje wadau wanaopenda jamiiforums ifungiwe
Duh, wewe sasa sijui unasaidiwaje!Mimi kuna wimbo flan nautafuta ni old school sijui unaitwaje wala simjui aliyeimba ..... neno ambalo huwa nasikia kwenye chorus ni ALWAYS tu... msaada wenu plz
Natafuta wimbo wa Ottu jazz Band Udini na ukabilaHuu ni Uzi wa mwanamember kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.View attachment 628965

Sio huyo.. aliyeimba n mwanaume!Duh, wewe sasa sijui unasaidiwaje!
Okei, je wa whitney houston: i will always love you!!
Huo wanadai umeshindikana mkuu, ila naamini kuna mtu atafanikiwa kuupatajamani ina maana wimbo wa mzee zorro beatrice ndio haupatikani [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Au forever and for always - Shania TwainDuh, wewe sasa sijui unasaidiwaje!
Okei, je wa whitney houston: i will always love you!!
Kuna ka nyimbo alishirikishwa Juma Nature kiitikio chake kinaimba ' kila nitakalolifanya mie kwao baya/ watu wana, hawana wanalolifanya ni roho zao mbaya / watu bwana "
Nikiupata nitashukuru
Thanx sana ndugu, hauna 'Simulizi za ufasaha', 'tatizo noti' by gangwe mobb, 'lekambuke' by Caz t?