Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Huu ni Uzi wa mwanamember kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.View attachment 628965
Mkuu asante kwa uzi huu....
Naomba unitafutie wimbo flani siukumbuki jana uliimbwa na CHUCHU SOUND miaka ya 2000/2001... unaimba hivi..... baba na mama naomba uninunulie Tsheti ya fubu, ukimwona mchaga mpe shimboni shafoo, ukimwona mhaya mpe wakora waitu........
 
Natafuta wimbo wa taarabu Natanga na njia nafikiri waliimba TOT....

Mwenye nao aniuzie wakuu.!
 
kuna wimbo uliimbwa na TOT Band kwenye album yao kwanza....umeimbwa /kutungwa na Leila (RIP) Nna kuimbwa na bend nzima.

kuna wimbo mwingine uliimbwa na Abdul misambano na bend nzima ya TOT pia nautafuta

yeyote mwenye nazo plz hata kwa kununua
 
Kuna wimbo wa zahur ally zohro unaitwa nadhani beatrice kama ntakua sijakosea nautafuta sana wimbo huu
 
Mkuu asante kwa uzi huu....
Naomba unitafutie wimbo flani siukumbuki jana uliimbwa na CHUCHU SOUND miaka ya 2000/2001... unaimba hivi..... baba na mama naomba uninunulie Tsheti ya fubu, ukimwona mchaga mpe shimboni shafoo, ukimwona mhaya mpe wakora waitu........

Unaitwa Marafiki uliimbwa na Chuchu sound..ndani kuna Mao Santiago, Joniko flower, etal..ilikua hatari sana enzi hizo..nami nautaka pia.
 
Mwenye wimbo wa imam Abbas mitaa ya kati (bila sanaa) ila nataka ule unaoanza na intro isemayo 'oyaa masela hakuna mgambo wote wanajeshi kumi ndani kumi nje.....'
 
Back
Top Bottom