Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu asante kwa uzi huu....Huu ni Uzi wa mwanamember kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.View attachment 628965
Pamoja sanaDah..shukrani sana mzee baba..
Jamaa nimeelewa Hilo goma A seeHahahaha jamaa anaitwa big shaq wimbo unaitwa man's not hot
Hamna noma.Ndo hiyo [emoji120] Asante sana mkuu
Goma kali sana lileJamaa nimeelewa Hilo goma A see
Fanya kuliweka hapa jamaa ni wa nchi ganGoma kali sana lile
NinazoSina hata moja ila naipenda hiyo ya Roma
NinaoMwanangu huna nidhamu wa dudu baya
Mie ninazoMkuu una nyimbo nyingine za kalikawe?
kuna nyimbo yake naitafuta jina lanyimbo silijui lakini anaimba " tenda mema nenda zako binadam siyo mtu atakutendea shari" nimeitafuta sana hii nyimboMie ninazo
Mkuu asante kwa uzi huu....
Naomba unitafutie wimbo flani siukumbuki jana uliimbwa na CHUCHU SOUND miaka ya 2000/2001... unaimba hivi..... baba na mama naomba uninunulie Tsheti ya fubu, ukimwona mchaga mpe shimboni shafoo, ukimwona mhaya mpe wakora waitu........