Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Go youtube upoMkuu,,
Kama umechota uhitaji wangu..
Huu wimbo nautafuta sana lakini siupati..
Elimu ya mjinga ni majungu-R.I.P banza stone..TOT PLUS.
"Bora ukose Mali upate akili".
Safari - Mc Babu Ayubu
[emoji115]Nu Shoes- Always or Atlantic Stars.Mimi kuna wimbo flan nautafuta ni old school sijui unaitwaje wala simjui aliyeimba ..... neno ambalo huwa nasikia kwenye chorus ni ALWAYS tu... msaada wenu plz
Nautafuta wimbo wa msanii mmoja hivi anaitwa Nani jina la wimbo ni Gita ulikuwa anachezwa sana na kituo cha TV cha C2C enzi zile ila kila nikiutafuta siupati.
Nimepata ile nyimbo moja shukrani kwa alieanzisha uzi huu ...bado natafuta nyimbo mbili zimebaki
Moja ina maneno ya "wandugu muwe na huruma wandugu muwe na huruma, nikifa leo na kesho maiti yangu ni bure itatupwa kama mbwa na kusahaulika pale pale"
Pili ina maneno yasemayo " kwetu ku zaire kwetu kuzaire siku nitarudi nitakula wali na sombe"
Nielekezeni namna yakuuweka hapa ndo kinanishinda but ninao huo wimboMbona wimbo wa zahir wa beatrice hakuna