Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Nautafuta wimbo flani unaitwa "umenichosha na maringo esta" na nyingine inaitwa "mademu wa leo wanachanganya" nimesahau walioimba.Wanaozifahamu wanisaidie
 
Mkuu,,
Kama umechota uhitaji wangu..

Huu wimbo nautafuta sana lakini siupati..

Elimu ya mjinga ni majungu-R.I.P banza stone..TOT PLUS.

"Bora ukose Mali upate akili".
Go youtube upo
 
Shukran sana mkuu, naomba kama upo wa pauline Zongo safari au TOT plus wakiwa na Pauline Zongo ule unaimbwa kaona mambo huyawezi ndipo kaja kwangu
 
Naipenda simba mshabiki wa damu....mwenye nayo atupie
 
stori 3 ya j.mo itapendeza zaidi

imekaa vibaya ya kali p
 
Mkuu umenzisha uzi mzuri sana huu natafuta nyimbo zifuatazo bila mafanikio kwa mda mlefu
TANGU LINI NGOZI YA KITIMOTO IKAWAMBWA NGOMA_SIJUI KAIMBA NANI,
HUYO HAMZA KALALA MMEMCHIKOZA WENYEWE, SASA MWAIONA NGOLYO MWAFUNGA MILIANGO, HAYO MANENO YAO WAMEYASEMA WENYEWE
 
Nimepata ile nyimbo moja shukrani kwa alieanzisha uzi huu ...bado natafuta nyimbo mbili zimebaki
Moja ina maneno ya "wandugu muwe na huruma wandugu muwe na huruma, nikifa leo na kesho maiti yangu ni bure itatupwa kama mbwa na kusahaulika pale pale"
Pili ina maneno yasemayo " kwetu ku zaire kwetu kuzaire siku nitarudi nitakula wali na sombe"
 
Wakuu msaada kuna wimbo nausaka sana ni wa kwaya lkn nimeisahau jina hiyo kwaya ..
Uwe mwenye kukesha ukaimarishe mambo yaliyosalia, yanayotaka kufa ndani yako.
Baadhi ya mistari ya huo wimbo.
Nitafurahi sana mtu akinitumia hapa
 
Kuna wimbo nautafuta sana, siufahamu ila beat yake iliwahi kutumika kama underground beat katika kipindi cha JE WAJUA Radio Free Africa kila jumapili saa tatu unusu hivi. Ni slow music. Kwa wenye utaalam unaweza kuingia YouTube ukasikiliza copy ya kipindi hicho na ukaaikiza pia underground beat wakati kipindi kinaendelea kinaitwa JE WAJUA
 
Mimi kuna wimbo flan nautafuta ni old school sijui unaitwaje wala simjui aliyeimba ..... neno ambalo huwa nasikia kwenye chorus ni ALWAYS tu... msaada wenu plz
[emoji115]Nu Shoes- Always or Atlantic Stars.
[emoji116]Ninao kwenye pc mp3 kama ukikosa PM ni_attach.
Nautafuta wimbo wa msanii mmoja hivi anaitwa Nani jina la wimbo ni Gita ulikuwa anachezwa sana na kituo cha TV cha C2C enzi zile ila kila nikiutafuta siupati.
 
Nimepata ile nyimbo moja shukrani kwa alieanzisha uzi huu ...bado natafuta nyimbo mbili zimebaki
Moja ina maneno ya "wandugu muwe na huruma wandugu muwe na huruma, nikifa leo na kesho maiti yangu ni bure itatupwa kama mbwa na kusahaulika pale pale"
Pili ina maneno yasemayo " kwetu ku zaire kwetu kuzaire siku nitarudi nitakula wali na sombe"

Abeti Masikini - Wali na Sombe na lupilipili maa na luchumvi maa unakolea kosingo.

Likayabo - Manjano na mdalasini.
 
1. Tumbo joto - Kali P

2.Mr.ebbo - Mi masai(original version)

2. "Nimekufananisha wewe dada" (sijui kaimba nani)

3. Alikiba -zaidi yako ( "si unaelewa wazi mi nikaka yako.. na unajua huyu ni shem wako")

4. Bakizi - ninapenda ukivaa kanga moja

5 "Utanikumbuka mpenzi wangu utanikumbukaa" jina nimelisahau
 
Jamani mm naitafuta sana wimbo wa Abdul Misambano - Asu
Mwenye nao pls anisaidie jaman
 
Back
Top Bottom