Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Nlijua ni Africando...kumbe kuna wenyewe walioimba@hhhhhh asanteeeeeeee sanaaa kumbe ni waarab,
Asante naipenda kuliko Castle lager
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nlijua ni Africando...kumbe kuna wenyewe walioimba@hhhhhh asanteeeeeeee sanaaa kumbe ni waarab,
Asante naipenda kuliko Castle lager
Ni waaarab ase naipenda inanikumbusha mamiaka meng yamepita.Nlijua ni Africando...kumbe kuna wenyewe walioimba
Wimbo wa kisukuma unaimbwa kwenye harusi,"kubyala"
Tafuta majungu si mtajiMkuu,,
Kama umechota uhitaji wangu..
Huu wimbo nautafuta sana lakini siupati..
Elimu ya mjinga ni majungu-R.I.P banza stone..TOT PLUS.
"Bora ukose Mali upate akili".
Ukiupata nishtueKuoana ni jambo la sifa: Patrick Balisidya
Mambo ya Steel band [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] umenikumbusha mbali miaka ileTazama ramani by jitegemee, huu wimbo nausaka bila mafanikio
Nashangaa tangu awali watu wanapeana contacts wapeane huu wimbo lakini hakuna hata mmoja analeta mrejesho hapa.
Ninawaccount ni maselfish haswaaa!! Ngoja nakucheki watsapp unitumie niupandishe hapa
Wagadugu Hi life.Mwenye nao please
ndanda kosovo wajelajela mwenye huu wimbo tafadhal...