Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Dah! Nimeuona kila script iliyowekwa tofauti na kinachoimbwa,pia nikidownload unaniletea kitu nisichoomba
 
Natafuta wimbo wa Zuena na sebene flani hivi kuhusu mali alizoacha baba,!
 
Nautafuta wimbo wa TUMEBARIKIWA SANA SISI TANZANIA BY KOMBA
 
Kuna nyimbo mbili za dini nimekuwa nazitafuta sana.
sijui majina ila zina maneno haya:
1. MUNGU AKIPENDA TUTAONANA TENA...... MUNGU AKIPENDA TUTAONANA TENA.

2.KILA MTU ATAUCHUKUUA MZIGO WAKE MWENYEWE NA KILA MTU ATATOA AHADO ZAKE MWENYEW...
 
Fally ipupa - olekooyo kama sijakosea spelling
 
Back
Top Bottom