Mtumpole
JF-Expert Member
- Aug 30, 2010
- 2,278
- 1,288
jamani mwenye nyimbo zote za hawa magwiji wawili wa music wa taarabu asilia naomba anitumie.
1. mohammed ilyas
2. abdalah issa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani mwenye nyimbo zote za hawa magwiji wawili wa music wa taarabu asilia naomba anitumie.
1. mohammed ilyas
2. abdalah issa
Mwenye wimbo wa Juma Nature inaniuma sana
Si Mimi ya Marlaw
Huu wimbo yutube haupo
natafuta nyimbo ya sugu(II Proud) uitwao dar dsm
Mambo Kwa Sox wa Remmy Ongola
Wimbo wa bendi ya Tot mgeni ameingia.
Nitakupa keshoWimbo ni beatrice - Mass media band, duh ni mmoa mgumu sana kuupata
huuo wimbo umepandishwa humu sema watu wavivu kusoma post zoteNashangaa tangu awali watu wanapeana contacts wapeane huu wimbo lakini hakuna hata mmoja analeta mrejesho hapa.
Ninawaccount ni maselfish haswaaa!! Ngoja nakucheki watsapp unitumie niupandishe hapa
Unaanza, nipe nafasi ili niwe Mpangaji Wa kudumu ndani ya moyo wakooooooSio huo Mkuu
Kesho nakupaKuna taarabu za zamani sana kama sikosei waliimba TOT
Inasema nimepata wangu fundi, amepima bila hofu, amepima kiufundi upana hata marefu.
Alafu, dereva wangu tulia hapa kwangu umetua. Ile albam ilikiwa moto miaka ya 92/93