Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Mie natafuta wimbo wa Tangulia Mwalimu ulioimbwa Mnyenyelwa
 
Aisee mm naukubali sana wimbo wa awiro wa mbeya moja ya mashairi yaenda ivi

"ndiomana ndiomana.......... ndiomana twinzire.....twinzire wa maaaaama ndiomana twinzire wa baba ndiomana twinzire "
Mwenye nao please help me
 
Me kuna wimbo unaitwa lost in love kwenye muvi inaitwa command performance ya dolf lundgren
Nimejaribu kusearch Internet nimekuta mwimbaji anaitwa Melissa Morinaro lakini kupakua wimbo sasa ndo mtiti

Halafu humohumo tena kuna kawimbo kazurizuri waliimba wakina dolf as a band lakini hako ndo hata kusearch nimeshindwa;
Wanaimba hivi>>>
'Don't cross the line...if you cross the line...'
 
Wimbo sijui wameimba nani ila ninwazamani unaitwa 'sili sishibi silali mpenz wang,
 
una nyimbo za solo thang zile za miaka ya elfu 2 mwanzoni? nimehangaika sana kuzipata. kama unazo ntashukuru mkuu.
 
Nashangaa tangu awali watu wanapeana contacts wapeane huu wimbo lakini hakuna hata mmoja analeta mrejesho hapa.

Ninawaccount ni maselfish haswaaa!! Ngoja nakucheki watsapp unitumie niupandishe hapa
huuo wimbo umepandishwa humu sema watu wavivu kusoma post zote
 
Kuna taarabu za zamani sana kama sikosei waliimba TOT

Inasema nimepata wangu fundi, amepima bila hofu, amepima kiufundi upana hata marefu.

Alafu, dereva wangu tulia hapa kwangu umetua. Ile albam ilikiwa moto miaka ya 92/93
Kesho nakupa
 
Back
Top Bottom