Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna wimbo.. Uliimbwa na jamaa mmmoja hivi. Sijajua unaiywaje sema aliimba hivi.

Ooooh mama miaa
Kakuzimiamia aminianiaaa
Ooooo mamaa miaaaa

Nb. sio Yule Dr. jose chameleon. Jamaa alikuwa na Rasta hivi kutoka aidha Uganda au Kenya
Anaitwa DJ Cutter....
 
Zilipendwa flan ivi unaimbwa "ilooo ooh, ukijifanya mjanja sana, aibu imekushika, kiko wapi. ." anayefahamu waliomba plz ntajie nigugo au km unao itkua poa sn
[HASHTAG]#zilipendwa[/HASHTAG]
Jogoo wa shamba ..
 
Wagosi wa kaya-Tax driver, asali wa moyo sio remix naomba mwenye nazo
 
una nyimbo za solo thang zile za miaka ya elfu 2 mwanzoni? nimehangaika sana kuzipata. kama unazo ntashukuru mkuu.
Nikipata nafasi nitaziweka Kama members wengine watakuwa hawajaziweka hapa
 
kuna wimbo wa msanii Plies kutoka marekani wimbo unaanza anaimbia kwny gari akielekea kwny jumba kubwa la kifahari ambapo anamkuta mdada na kuanza kuimba nae, nmeutafuta sana bila mafanikio...
 
"Nilipokuona mara ya kwanza jakiiiii nilijiuliza malaika katoka wapiiiii, kweli baba Muungu alikuumbaa, nywele za kuanguka, upo murembo jakiii"...
Nauomba huu wimbo, simjui alieimba wala jina la wimbo
 
Mi natafuta wimbo wa mtu mmoja nadhani ni mmakonde najua kiitikio anaimba.."chilambo cha veneeeee"
 
Natafuta wimbo uitwao "Mobali Malolee",wa Marquis kabla hawajaja Tanzania na muda mfupi baada ya kuja
 
Back
Top Bottom