Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Wimbo wa zahir zolo
Maneno yake ni haya.
Tuishi sote milele
Tuishi sote milele kama watoto wazuri wapendezao.
Wewe ndo wangu mama ............
 
Jamani natafuta wimbo wa Bushoke. Mpenzi Christina. Mwenye nao mnisaidie
 
Wimbo wa zahir zolo
Maneno yake ni haya.
Tuishi sote milele
Tuishi sote milele kama watoto wazuri wapendezao.
Wewe ndo wangu mama ............
Huo wimbo unaitwa Beatrice, aliimba na mass media Band

mimi niliutaja mwanzoni hakuna aliyenipa, ukipewa nitag mkuu.
 
Wimbo wa zahir zolo
Maneno yake ni haya.
Tuishi sote milele
Tuishi sote milele kama watoto wazuri wapendezao.
Wewe ndo wangu mama ............
Beatrice Affairs. Utafute nilishauweka humu humu
 
Nataka wimbo ule 'I'll give it all just to be with you again' sijui hata aliimba nani ila naupenda sana...
 
Wimbo wa koffi olomide ft fally ipupa Silvie.
Mtu asije kuchanganya na ule silvie wa koffi alioimba na bendi nzima na wala sio ule aliomshirikisha felle gora.
 
NAtafuta wimbo wa Huruma ya Bwana
Umekua Sampled from wimbo wa Nshakalabe wa Adonai Pentecostal Singers
 
Wimbo wa zahir zolo
Maneno yake ni haya.
Tuishi sote milele
Tuishi sote milele kama watoto wazuri wapendezao.
Wewe ndo wangu mama ............
Fuatilia humu ulishawahi kurushwa humu. Unaitwa Beatrice
 
Back
Top Bottom