Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Natafuta wimbo maarufu sana ulioimbwa na mwanamuziki YOUSSOR NDOUR kwa bahati mbaya sijui jina la wimbo huo.
 
"Oooh Maria...
Bembeleza mwana
Misiti mikubwa
Tutaliwa na simba
Eeeeh Maria"
Wimbo wa zamani huu nautafuta ila aliyeimba simjui
 
Kwa ambao mnasema hamjui kuattach nyimbo hapo fuata mtiririko huu kama nilivyo screenshot utafuata kama nilivyozungushia duara
Kwenye sehem yako ya kuandikia kama hii hapo chini kuna alama ya ipo katikati ya VINUKTA na SEND unaibonyeza itakuletea kibox kimeandijwa CHOOSE FILE utabonyeza then itakuletea sehem imeandikwa GALLERY CAMERA View attachment 662629 View attachment 662629 View attachment 662631 View attachment 662633 na FILE MANAGER ukibonyeza file manager itakupeleka kwenye storage yako ya vitu vya simu sasa hapo unatafuta nyimbo zako ziko sehem gani unauchagua automatic utajiupload then ikimaliza kuupload bonyeza SEND
Poa ntafanyia mazoezi kwanza
 
Muungano catrultroup wimbo unaitwa dereva..muimbaji marehemu nasma Hamisi kidogo
 
Mwenye hizi nyimbo wadau..naomba ani tag..sandra..pamoja na Valentine day zote za diamond sound band..
 
Back
Top Bottom